Gogo Kavu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2021
- 245
- 231
Nilichokiona baadhi ya watu wana mteru na mihaho sana ,ukisoma tangazo vizuri kwa kutulia linaeleweka vizuri kabisa ,na wametoa miongozo namna ya kufanya na mambo ya kuzingatia .....Kwa mfano wenye fani kuanzia shahada na kuendelea kuna namna yao ya kutuma maombi ,na yapo maelekezo yao spesho ambayo hayamchanganyi mtu endapo utayasoma kwa umakini .....Ukiscan documents zako zote unaziweka kwenye file moja ikiwemo kiambatanisho B ambacho kina taarifa zako binafsi (ni kama CV yako). Namna ya kuisave unasave kama document file na sio PDF file (watu wa stationary wanaelewa ) Lengo ni kuwezesha Kiambatanisho B kifunguke .ila ukiisave file yako kama PDF kiambatanisho B hakiwezi kufunguka .......Kwa Maelezo yangu Machache nadhani kuna watu yatawasaidia .