Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nilichokiona baadhi ya watu wana mteru na mihaho sana ,ukisoma tangazo vizuri kwa kutulia linaeleweka vizuri kabisa ,na wametoa miongozo namna ya kufanya na mambo ya kuzingatia .....Kwa mfano wenye fani kuanzia shahada na kuendelea kuna namna yao ya kutuma maombi ,na yapo maelekezo yao spesho ambayo hayamchanganyi mtu endapo utayasoma kwa umakini .....Ukiscan documents zako zote unaziweka kwenye file moja ikiwemo kiambatanisho B ambacho kina taarifa zako binafsi (ni kama CV yako). Namna ya kuisave unasave kama document file na sio PDF file (watu wa stationary wanaelewa ) Lengo ni kuwezesha Kiambatanisho B kifunguke .ila ukiisave file yako kama PDF kiambatanisho B hakiwezi kufunguka .......Kwa Maelezo yangu Machache nadhani kuna watu yatawasaidia .
 
Issue ni wakati wa kutuma...Je unatuma separate nkiwa na maana attachment zinakua mbili kiambatanisho B pamoja na barua na vyeti ama lah?
 
Mungu alikua uelewa mkubwa ili kusaidia wengine ndio ndio maana viongozi walio soma hawakai wao peke yao wanaongoza Hawa ambao hawaja soma
 
Si ndo hapo sasa man, sijaelewa mantiki yake hapa? Kwamba hawataki vijana wenye ufaulu wa juu huko polisi ama
Wanatakiwa waliofeli na ambao hawana uwezo wa kujisimamia...wakatumiwe na ccm
 
Issue ni wakati wa kutuma...Je unatuma separate nkiwa na maana attachment zinakua mbili kiambatanisho B pamoja na barua na vyeti ama lah?
Documents zote unascan isipokuwa Kiambatanisho B ..unazicombine kwenye file moja ..namna ya kusave unasave kama Document file na sio PDF file ......ila zote zinakuwa kwenye file moja na sio separate
 
Alafu kwenye inshu ya Medical form naona watu wanapata mkanganyiko. Labda nitoe comment zangu na mimi
Ukisoma viambatanisho wanayotaka polisi uweke ,medical form haipo lakini kwenye sifa za mwombaji kule wamesema uwe na siha (afya)njema .ila me naamini kitu kimoja Bora ukamuamini Mungu yupo hata kama usimkute haitoleta shida ,kuliko kuamini Hayupo Ukamkuta ..nikiwa na maana kwamba iyo form bora Ukaiweka tu hata kama haitakiwi au hawajasema uweke ,kuliko kutoiweka kabisa alafu ikawa inatakiwa ..Maji utayaita MMA
 
Hivi kwa zile nafasi za mwaka Jana za polisi zilizotoka kwa waliokuwa wakizifuatulia baada ya submission deadline kufika ilichukua muda gani kuitwa interview?? Mwezi au miezi miwili??

Na pia kuna mtu ananiambia kuwa wale wa form four waliopita jkt waliokuwa nje ya kambi wao walifanyia interviews mikoani kwao afu wale waliomba kupitia fani zao(professions zao) wao waliitwa dar es salaam wote na interview ikafanyika dar...ni kweli???
 
Ajira zilizopita deadline ya maombi Ilikuwa 30/08/2021 na majina ya waliochaguliwa ilitoka 19/10/2021 almost miezi miwili na nusu.

Kuripoti makambini Ilikuwa 23-29/10/2021.
 
Kujilipua tuu tumejilipua mara napi [emoji23][emoji23][emoji23] na tunapeta tu
 
Mtu ana certificate unamuulizaje mambo ya leaving?..

Karne ya 21 tunaulizana mambo ya leaving kweli.!![emoji28]
kwenye leaving wanacheki miaka uliyo jaza mzee baba, ndomana wanazidai,
mana mtu unaweza foji miaka huku chuo, na ikawa haifananai nayakwenye leaving zako. napia isifanane na kwenye document zako za primary
 
Back
Top Bottom