Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Naona mambo ni moto walianza zimamoto/uokoaji, wakaja polisi, sasa uhamiaji,magereza na Tpdf ndo zitafunga dimba.
Baada ya hapo kitapita kipindi fulani cha ukame kama enzi za jiwe piga ua hizi upate mojawapo hicho kipindi sio cha kusubiri kabisa ..huku vitu vikiendelea kupanda bei [emoji3][emoji3]
 
degree za Engineering je mkuu?
 
Kwa sisi form 4 na 6 ambao hatuna fani walizotaja hapoo ila tumepita zetu JKT wanaweza kutuangaliaa kweliii???
 
Naomba kuliza kwa wale ambao wanaomba ajira za polisi au uhamiaji wanao tumia fani zao. Je? barua inatakiwa kuandikwa kizungua au
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…