Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 4,439
- 8,184
Nimeona aiseNaona mambo ni moto walianza zimamoto/uokoaji, wakaja polisi, sasa uhamiaji,magereza na Tpdf ndo zitafunga dimba.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona aiseNaona mambo ni moto walianza zimamoto/uokoaji, wakaja polisi, sasa uhamiaji,magereza na Tpdf ndo zitafunga dimba.
Nimeona aiseNaona mambo ni moto walianza zimamoto/uokoaji, wakaja polisi, sasa uhamiaji,magereza na Tpdf ndo zitafunga dimba.
Magereza watu wapo course hao usiwahesabie sana...labda tpdfNaona mambo ni moto walianza zimamoto/uokoaji, wakaja polisi, sasa uhamiaji,magereza na Tpdf ndo zitafunga dimba.
Baada ya hapo kitapita kipindi fulani cha ukame kama enzi za jiwe piga ua hizi upate mojawapo hicho kipindi sio cha kusubiri kabisa ..huku vitu vikiendelea kupanda bei [emoji3][emoji3]Naona mambo ni moto walianza zimamoto/uokoaji, wakaja polisi, sasa uhamiaji,magereza na Tpdf ndo zitafunga dimba.
Usiache kuomba ..ombea hata form six nimeona wameweka mwisho miaka 28Uhamiaji medics hatutakiwi dah
Aombe tu hata kwa hiyo degree hawezi juaUsiache kuomba ..ombea hata form six nimeona wameweka mwisho miaka 28
degree za Engineering je mkuu?Boss Mishahara ya degree inatofautiana. Hiyo uliyotaja hapo ni degree zingine. Degree za Engineering na Afya wana scale yao. Ila degree za afya ndio wanaongoza kula mpunga mrefu kwenye jeshi la polisi. Kwa mfano MD ni 1.5m kama scale tu ya serikali kwa madaktari.
Cheti cha JKT ndo kitu muhimu kuliko vyote ...hivyo vingine ni ziada tu maana hata wao wanaweza kuwasomesha watu wao wanaowatakaUhamiaji wanahitaji cheti cha jkt?
sema ni ugaigai wa kanchi ketu ila ilipaswa kila mwaka watu wastaafu wengine waajiriwe.Baada ya hapo kitapita kipindi fulani cha ukame kama enzi za jiwe piga ua hizi upate mojawapo hicho kipindi sio cha kusubiri kabisa ..huku vitu vikiendelea kupanda bei [emoji3][emoji3]
Uhamiaji wameachia piah?Uhamiaji wanahitaji cheti cha jkt?
Ivi unaweza omba hizi nafasi kwa kutumia transcript ya chuoCheti cha JKT ndo kitu muhimu kuliko vyote ...hivyo vingine ni ziada tu maana hata wao wanaweza kuwasomesha watu wao wanaowataka
Andika kwa kiswahiliNaomba kuliza kwa wale ambao wanaomba ajira za polisi au uhamiaji wanao tumia fani zao. Je? barua inatakiwa kuandikwa kizungua au
HapanaIvi unaweza omba hizi nafasi kwa kutumia transcript ya chuo
Ndiyo,sema tu wamesema watawapa vipaumbele wale wenye faniKwa sisi form 4 na 6 ambao hatuna fani walizotaja hapoo ila tumepita zetu JKT wanaweza kutuangaliaa kweliii???
Sawaa!!Ndiyo,sema tu wamesema watawapa vipaumbele wale wenye fani