Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Naona mambo ni moto walianza zimamoto/uokoaji, wakaja polisi, sasa uhamiaji,magereza na Tpdf ndo zitafunga dimba.
Baada ya hapo kitapita kipindi fulani cha ukame kama enzi za jiwe piga ua hizi upate mojawapo hicho kipindi sio cha kusubiri kabisa ..huku vitu vikiendelea kupanda bei [emoji3][emoji3]
 
Boss Mishahara ya degree inatofautiana. Hiyo uliyotaja hapo ni degree zingine. Degree za Engineering na Afya wana scale yao. Ila degree za afya ndio wanaongoza kula mpunga mrefu kwenye jeshi la polisi. Kwa mfano MD ni 1.5m kama scale tu ya serikali kwa madaktari.
degree za Engineering je mkuu?
 
Uhamiaji wameachia piah?
Yes
IMG-20221211-WA0004.jpg
IMG-20221211-WA0005.jpg
IMG-20221211-WA0006.jpg
 
Kwa sisi form 4 na 6 ambao hatuna fani walizotaja hapoo ila tumepita zetu JKT wanaweza kutuangaliaa kweliii???
 
Naomba kuliza kwa wale ambao wanaomba ajira za polisi au uhamiaji wanao tumia fani zao. Je? barua inatakiwa kuandikwa kizungua au
 
Back
Top Bottom