MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Bado sijagusia Tanapa kuna kila mwenye ngazi ya elimu kuanzia form 4 mpka kuendelea ambapo kuna mpka ma botanist ...watu wa wildlife nakadhalika wamesomaDogo janja anaonyesha kuwa anaijua ngoma vizuri kumbe ni mweupe,nadhani PT kwa majeshi yetu kwasasa wanaweza kuwa wanaongoza kwa Askari wengi kuwa na elimu za juu.
Ndio mkuu,mwaka jana sijajua nilikosea wapi adi nikakosa nafasiMwaka jana walichukua pia ambao hawana fani kama wote bado tena waliongeza wengine
Uchawi uwe umepiga jakata tu na cheti unacho
Uliomba ?Ndio mkuu,mwaka jana sijajua nilikosea wapi adi nikakosa nafasi
Thibitisha vyote utakuja kunishukuruAchana na hzo leaving we thibitisha academics certificates na birth certificate
Ndiyo mkuu ajira za mwaka jana zote niliomba kuanzia fire, polisi,magereza, uhamiaji lkn sikubahatika kupata niliishia interview tuUliomba ?
Hakuna jeshi linaitwa la uhifadhi hiyo ni taasisi tu haitambuliki kama jeshi kikatiba, mtaitana jeshi huko huko kwasababu ya kuvaa unform ila kikatiba haitambulikiQumernyoko [emoji1787] eti wanangoza elimu za juu
Utadhani majeshi mengine hayasomi
Mengine tu hawachukuwi form 4
Ni kuanzia diploma mfano jeshi la uhifadhi (tfs) kamishna mkuu tu ni profesa
Hapo sijagusa mtipidii na mengineyo
mnafarijiana
Nmeona huu mjadala sielewi why mnabishana hv, mfano wa fani ambayo majeshi mengine ipo ila Tanpol haipo n ipi hyo ?Tukiongea ule ukweli wenyewe na tukiweka unafiki pembeni
tupozungumzia jeshi kuwa na wasomi at least muwe na certificate , diploma au degree au hata masters relevant na jeshi husika
Mfano forensic science kwa ajili ya kupima crimes scenes ,labda degree ya law maana polisi ni wasimamizi na walinda sheria hii ni advantage kubwa watu wa IT kupambana na uhalifu mtandaoni nakadhalika, medical professionals etc etc
Sio umeingia na degree husika unaenda soma masters yeyote ili mradi tu uongeze digits kwenye salary slip na unakuta haina hata application huo usomi una faida gani kwanza hapo umepoteza sifa ya usomi umeshindwa kwenda na mazingira kupambanua mambo umeingia na form 4 yako unasoma diploma haiendani kabisa na hilo jeshi lako ili mradi tu na wewe eti ndio umeongeza elimu ..
Na tunaposema jeshi fulani linaongoza kwa wasomi hayo niliyosema hapo juu ni kigezo cha kwanza cha kupima
Kigezo cha pili ni kuwa na watu proffesional au fani nyingi zenye application kwenye jeshi ambazo kwenye jeshi lengine hazipo mfano engineer wa meli , na wengineo ...fani gani ipo tanpol kwenye majeshi mengine haipo ? Jibu hakuna lakini kuna fani zipo jeshi lengine na tanpol hamna ... halafu anakuja mtu anakuita dogo janja kichwani hamna kitu hata hoja za msingi hana [emoji1787]
Duuh Pole mzee wakati wako hukufikaNdiyo mkuu ajira za mwaka jana zote niliomba kuanzia fire, polisi,magereza, uhamiaji lkn sikubahatika kupata niliishia interview tu
Nani kasema ? [emoji1787]..Hakuna jeshi linaitwa la uhifadhi hiyo ni taasisi tu haitambuliki kama jeshi kikatiba, mtaitana jeshi huko huko kwasababu ya kuvaa unform ila kikatiba haitambuliki
Amiina ,Nashkuru Sana,nawewe pia mungu atakusaidiaDuuh Pole mzee wakati wako hukufika
Safari hii Mungu akusaidie tu ufike kama vipi u force tu kwa namna yoyote ile
Yaani katika watu ambao nitafurahi muondoke humu ni wewe mkuu unastahili kabisa
Sorry samahani hv interview zao huwa zinqhusu mambo gani.?Ndiyo mkuu ajira za mwaka jana zote niliomba kuanzia fire, polisi,magereza, uhamiaji lkn sikubahatika kupata niliishia interview tu
Kwenye interview huwa wanaangalia nini au kufanya/kuuliza vitu gani hasa kwa wenye diploma or degree?Duuh Pole mzee wakati wako hukufika
Safari hii Mungu akusaidie tu ufike kama vipi u force tu kwa namna yoyote ile
Yaani katika watu ambao nitafurahi muondoke humu ni wewe mkuu unastahili kabisa
Mimi nilishapata utumishiAmiina ,Nashkuru Sana,nawewe pia mungu atakusaidia
Za kawaida Sana, Sana Sana physical na damu,oral interview wanauliza maswali kuhusu polisi,viongozi na virefu vya vyeo,na vyeo ila lengo la oral wajue kma unajua soma na kuandika sababu wapo ambao walijibu hovyo na walitoboa kiufup mkiwa mnahitajika wengi ndiyo rahic kutoboa hata usaili unakuwa ni kukamilisha ratiba tuSorry samahani hv interview zao huwa zinqhusu mambo gani.?
Daa hongera Sana,vp ulikuwa na mbanga au connection yoyoteMimi nilishapata utumishi
Na mimi nilipoteza nauli kadhaa hadi wakati ulipofika
Mfano ajira za mwanzo kabisa za magereza jamaa zangu waliofanya pepa la magereza hawa wenye degree ya agricultural general lilikuja pepa linaloendana na kile walichosomea (kilimo) ndio waliniambia hivyo huko kwengine sijui nikesema nitakuwa nabuniKwenye interview huwa wanaangalia nini au kufanya/kuuliza vitu gani hasa kwa wenye diploma or degree?
Kwa hiyo bro kwenye interview hamna maswala ya kuulizwa maswali au kufanya mtihani unaohusu fani yako uliyoombea kazi ktk jeshi husika?Za kawaida Sana, Sana Sana physical na damu,oral interview wanauliza maswali kuhusu polisi,viongozi na virefu vya vyeo,na vyeo ila lengo la oral wajue kma unajua soma na kuandika sababu wapo ambao walijibu hovyo na walitoboa kiufup mkiwa mnahitajika wengi ndiyo rahic kutoboa hata usaili unakuwa ni kukamilisha ratiba tu
Leta ushahidi ni wapi katika katiba inatambulika kuwa ni jeshi maana katiba imebainisha na imetaja majeshi ni yapi acha kujichekeshaNani kasema ? [emoji1787]..
Jeshi la uhifadhi wa misitu ni jeshi na linatambulika mkuu unajihaibisha