Tukiongea ule ukweli wenyewe na tukiweka unafiki pembeni
tupozungumzia jeshi kuwa na wasomi at least muwe na certificate , diploma au degree au hata masters relevant na jeshi husika
Mfano forensic science kwa ajili ya kupima crimes scenes ,labda degree ya law maana polisi ni wasimamizi na walinda sheria hii ni advantage kubwa watu wa IT kupambana na uhalifu mtandaoni nakadhalika, medical professionals etc etc
Sio umeingia na degree husika unaenda soma masters yeyote ili mradi tu uongeze digits kwenye salary slip na unakuta haina hata application huo usomi una faida gani kwanza hapo umepoteza sifa ya usomi umeshindwa kwenda na mazingira kupambanua mambo umeingia na form 4 yako unasoma diploma haiendani kabisa na hilo jeshi lako ili mradi tu na wewe eti ndio umeongeza elimu ..
Na tunaposema jeshi fulani linaongoza kwa wasomi hayo niliyosema hapo juu ni kigezo cha kwanza cha kupima
Kigezo cha pili ni kuwa na watu proffesional au fani nyingi zenye application kwenye jeshi ambazo kwenye jeshi lengine hazipo mfano engineer wa meli , na wengineo ...fani gani ipo tanpol kwenye majeshi mengine haipo ? Jibu hakuna lakini kuna fani zipo jeshi lengine na tanpol hamna ... halafu anakuja mtu anakuita dogo janja kichwani hamna kitu hata hoja za msingi hana [emoji1787]