Nimekupata bro, so sometimes ni heri kujiandaa maana lolote laweza kutokea interviewMfano ajira za mwanzo kabisa za magereza jamaa zangu waliofanya pepa la magereza hawa wenye degree ya agricultural general lilikuja pepa linaloendana na kile walichosomea (kilimo) ndio waliniambia hivyo huko kwengine sijui nikesema nitakuwa nabuni
Sikuwa na connection Ila Kama unayo usiache kutumia kudadekiiDaa hongera Sana,vp ulikuwa na mbanga au connection yoyote
Maswali yapo kaka ya ana kwa ana tena me nilifanya ila maswali yenyewe sasa linakuwa swali lolote wanaangalia confidence na ujibuji wako,utimamu wako,me nakumbuka mkuu wa mkoa alinuuliza bwana Xmonster ikitokea umekosa nafasi ya jeshi la polisi utafanyaje,niliulizwa swali moja tu,mara nyingi swali ni moja mojaKwa hiyo bro kwenye interview hamna maswala ya kuulizwa maswali au kufanya mtihani unaohusu fani yako uliyoombea kazi ktk jeshi husika?
Sina connection ila naomba mungu naimani Safari hii kitaa nitaondokaSikuwa na connection Ila Kama unayo usiache kutumia kudadekii
Kama short cut ipo kwa nini ujitese zama nayo kibabe
Utumishi sipo kwenye sekta ya majeshi mkuu
Lazima ulizwe kule makao lazima ukutane na panel imekuzunguka umekaa mtu kati hapo hawakosi ma ofisa wachache wenye ujuzi kama wako ukipata bahati labda yupo mmoja unaweza ambulia swali moja la fani au usiulizwe ukaulizwa general questionsKwa hiyo bro kwenye interview hamna maswala ya kuulizwa maswali au kufanya mtihani unaohusu fani yako uliyoombea kazi ktk jeshi husika?
Inshaallah utapataSina connection ila naomba mungu naimani Safari hii kitaa nitaondoka
Allahuma amiinInshaallah utapata
Duh upolisi umekuwa dili? Kweli vyuma vinekaza...kule mshahara shngapi degree?Sina connection ila naomba mungu naimani Safari hii kitaa nitaondoka
Sijui mishahara yao ,sema Watoto wa mama ntilie sisi,wazazi wetu umri ushaenda tunatamani kuwasaidia ila kazi hatuna,pesa hakuna siwezi chagua kazi napambana hata kma kidogo hakitatosha kuhonga kitatosha kumlea mama, Mungu atubariki hii rizki [emoji120]Duh upolisi umekuwa dili? Kweli vyuma vinekaza...kule mshahara shngapi degree?
Mnaenda kupewa zamu za lindo?
lindo kawaida si uaskari pia yategemea utakuwa kitengo ganiDuh upolisi umekuwa dili? Kweli vyuma vinekaza...kule mshahara shngapi degree?
Mnaenda kupewa zamu za lindo?
Mshahara n mzuri ukiingia na degree utalipwa mshahra wa degree wanaolipwa wengine mtaani lakini Kuna posho kule 300K kila mwezi, 100K kila mwezi ya vinywaji ambayo sku hiz wanapewa kila baada ya miezi minne wanaijumlisha wanapewa 400k bado ukienda field force Kuna posho nyingine pia,Duh upolisi umekuwa dili? Kweli vyuma vinekaza...kule mshahara shngapi degree?
Mnaenda kupewa zamu za lindo?
Una uwezo mdogo sana kuchambua mambo na kujenga hoja.Qumernyoko [emoji1787] eti wanangoza elimu za juu
Utadhani majeshi mengine hayasomi
Mengine tu hawachukuwi form 4
Ni kuanzia diploma mfano jeshi la uhifadhi (tfs) kamishna mkuu tu ni profesa
Hapo sijagusa mtipidii na mengineyo
mnafarijiana
Wewe ni mjuaji sana dogo janja.Nani kasema ? [emoji1787]..
Jeshi la uhifadhi wa misitu ni jeshi na linatambulika mkuu unajihaibisha
Mfano mm napenda lindo kuliko hta utraffic 😅lindo kawaida si uaskari pia yategemea utakuwa kitengo gani
HMshahara n mzuri ukiingia na degree utalipwa mshahra wa degree wanaolipwa wengine mtaani lakini Kuna posho kule 300K kila mwezi, 100K kila mwezi ya vinywaji ambayo sku hiz wanapewa kila baada ya miezi minne wanaijumlisha wanapewa 400k bado ukienda field force Kuna posho nyingine pia,
Bado kwa upolisi Kuna vimadili flani visivyo rasmi nazani vinajulikana kuingia bure kutoka pesa[emoji2][emoji2] tulio kwenye utumishi nje ya majeshi posho yenyewe kuja kuipata hadi seminar au vitokee v per DM m nawashauri vijana ombeni kwenye majeshi kazi n ngumu lakin maslahi yapo
Hv vtengo huwa wanagawaje mfano traffic,GD,FFU..Mshahara n mzuri ukiingia na degree utalipwa mshahra wa degree wanaolipwa wengine mtaani lakini Kuna posho kule 300K kila mwezi, 100K kila mwezi ya vinywaji ambayo sku hiz wanapewa kila baada ya miezi minne wanaijumlisha wanapewa 400k bado ukienda field force Kuna posho nyingine pia,
Bado kwa upolisi Kuna vimadili flani visivyo rasmi nazani vinajulikana kuingia bure kutoka pesa[emoji2][emoji2] tulio kwenye utumishi nje ya majeshi posho yenyewe kuja kuipata hadi seminar au vitokee v per DM m nawashauri vijana ombeni kwenye majeshi kazi n ngumu lakin
Wewe ni mjuaji sana dogo janja.
TFS,TANAPA hapa hakuna majeshi dogo hizi ni paramilitary.
Jeshi ni TPDF,PT,MT,UT,ZT.
Acha ujuaji.
Uhifadhi wa wanyamapori pia waliiliongeza nalo limekua kama jeshi siku hiziWewe ni mjuaji sana dogo janja.
TFS,TANAPA hapa hakuna majeshi dogo hizi ni paramilitary.
Jeshi ni TPDF,PT,MT,UT,ZT.
Acha ujuaji.
Omba polisi huko ndio kuna nafasi kwani wana dispensaries nyingi na hospitali piaBachelor had diploma sjaona
Thibitisha tuNa vipii khsu kuthibitishaa vyetii n mpk hvv vya leaving certificate??
Wanakupangia waoH
Hv vtengo huwa wanagawaje mfano traffic,GD,FFU..
au nawenywe wanakatwa mabogi