Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hii kali. Yaani division 1 na 2 hawatakiwi!! Hili jeshi wanajifahamu vizuri wakiongozwa na Zirro.

1629308176692.png
 
Jeshi la polisi tz wanetoa ajira, wahi mapema kuomba. soma ambatanisho


FB_IMG_16293097369150676.jpg
FB_IMG_16293097510523043.jpg
 
DC tangazo linataka Jkt alafu unaniambia kama Nina vigezo wakati hapo tayari mchujo, hii Nchi bhana tabu tupu double standard daily au huko MG tulipewa mafunzo na raia?
sasa unanilalamikia mm ndio nimetoa tangazo?

vigezo wameainisha hapo. unavyo apply.. huna kausha. mbona rahis sana kuelewa
 
Nilimaliza mafunzo ya JKT Kanembwa 2017 mujibu wa sheria, sasa naomba kufahamishwa mkuu wa kambi ya Kanembwa sasa hivi ni nani, pamoja na anuani ya pale kambini nataka kufanya maombi ya kazi hizi za polisi.
 
Vijana waliopitia Jkt/Jku ndio muda wenu huu wa kula shavu,
 
Jeshi la Polisi ni zero kabisa! Yaani mtu kaferi form four ana four ya 26 hadi 32 ndiyo akawe mwana usalama wa kulinda raia na mali zake kweli??
Acha roho mbaya ,kwani anapelekwa tuu? si anapewa mafunzo...
 
Back
Top Bottom