Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Maelekezo mapya.

IMG-20210819-WA0003.jpg
 
Jeshi la Polisi ni zero kabisa! Yaani mtu kaferi form four ana four ya 26 hadi 32 ndiyo akawe mwana usalama wa kulinda raia na mali zake kweli??
Ndio maana jeshi letu uweledi zero kabisa, na tushukuru Mungu Tanzania tuna adabu bila hivo hali ingekuwa mbaya
 
Ndio maana jeshi letu uweledi zero kabisa, na tushukuru Mungu Tanzania tuna adabu bila hivo hali ingekuwa mbaya
Gwaji grl, Gwaji boy,Mwigulu,Mbowe,Lipumban.k wamesoma sana ila...[emoji1]
weledi kazini ni kipaji tu cha mtu ni si kiwango cha elimu.
 
As long as umepita jkt mafunzo ya awali na una cheti apply tu mzee...changamoto yangu bado sijaelewa tunapeleka kwa mkono huko makao makuu dodoma au?
soma vizuri tangazo limejieleza kwenye para ya kwanza tu...kuwa ni nafasi kwa vijana waliopo makambini jkt...huku hao waliopo makambini wakiwa awana vyeti dah....hii nchi sijui inakwenda wapi
 
vyuma vimekaza....natoa ofa ya kiwanja kwa atakae weza kunipianishia...nikasajiliwa kujiunga na jeshi la polisi....

18808792_114180709171063_3620998549715550208_n.jpg
 
Awe na ufaulu wa div 4 au 3 tuu sasa Kwa wale wenye div 1 na 2 hawatakiwi au inakuwaje

hai wakasome shule kwanza,wakimaliza waje wakiwa na cheti kingine wanahitajika pia ila sio kwa wakati wakiwa na sifa hizo.

unaingia jeshini mwezi mmoja baadae unaomba likizo ya kusoma!!!embu kasome umalize kwanza ndipo uje.
 
Mbona nasikia hamtoi ruhusa za kwenda kusoma huko ktk 'geshi la polishi' labda wa kozi elekezi ndio mnawaruhusu.
 
Nilimaliza mafunzo ya JKT Kanembwa 2017 mujibu wa sheria, sasa naomba kufahamishwa mkuu wa kambi ya Kanembwa sasa hivi ni nani, pamoja na anuani ya pale kambini nataka kufanya maombi ya kazi hizi za polisi.
Umenikumbusha mbali , kanembwa 2017 kumbe tulikua wote [emoji3526]
 
Back
Top Bottom