Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Cheti cha JKT ni mpka kile cha kujitolea au hata cha kwa mujibu kinafaa?
 
Mantiki ipo tena nzuri tu kwa sasa jeshi la polisi kiliwalimbikiza vijana wengi wenye elimu kubwa na walikua hawajawapandisha vyeo lakini mama akapandisha vyeo askari wote wenye degree na kwenda ngazi ya mkaguzi msaidizi yaan inspector ambao walikua kama efu tano kasolo sasa3 kutokana na hawa askari kupanda vyeo vya juu kabisa hivyo basi kumetokea ombwe la wafanyakazi wa chini yaani malindo pamoja kazi zingine za askari wa chini ndio maana wakatangaza kutafuta vijana wenye division za chini kwaajili ya kufanya izo kazi za nguvu
 
As long as umepita jkt mafunzo ya awali na una cheti apply tu mzee...changamoto yangu bado sijaelewa tunapeleka kwa mkono huko makao makuu dodoma au?

Nadhani ni kwa posta kwa nilivyoelewa....ila changamoto yangu na mimi nitapataje anuani ya kanembwa jkt na jina la mkuu wa pale kwa sasahivi [emoji120][emoji120]naomba msaada kwa anaefahamu
 
Oyoo wanangu tulioahirisha kwenda jkt tukaenda chuo na sasa tunapauka tutambuane
 
Sisi Wa wajibu Wa sheria??
Wajibu wa Sheria ndio nini?

Umeambiwa aliyemaliza mafunzo ya awali ya jkt.

Sasa mujibu wa Sheria sio mafunzo ya awali ya jkt?

Watu wenye ufahamu mdogo kama nyie ndio mnaolirudisha nyuma hili taifa.
 
Jeshi la Polisi ni zero kabisa! Yaani mtu kaferi form four ana four ya 26 hadi 32 ndiyo akawe mwana usalama wa kulinda raia na mali zake kweli??
hujui lolote.hilo ni jeshi linafanya kazi kwa maelekezo na sio hisia
 
Nadhani ni kwa posta kwa nilivyoelewa....ila changamoto yangu na mimi nitapataje anuani ya kanembwa jkt na jina la mkuu wa pale kwa sasahivi [emoji120][emoji120]naomba msaada kwa anaefahamu
niibox nikupe namba ya afande manyota flan pale atakusaidia.
 
Hivi ngazi ya degree Jeshini wanalipwa vizuri?
MMi
Nadhani ni kwa posta kwa nilivyoelewa....ila changamoto yangu na mimi nitapataje anuani ya kanembwa jkt na jina la mkuu wa pale kwa sasahivi [emoji120][emoji120]naomba msaada kwa anaefahamu
Mimi pia nilipita Kanembwa, lakini nimemuuliza mtu kaniambia kuwa kwa wale ambao bado wapo makambin ndio wataandika kupitia wakuu wao wa jeshi...ila kama ulishapita na ukahitimu haina haja

Ila swali langu ni kuw maombi tunapeleka kwa mkono dodoma au vipi
 
Back
Top Bottom