Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wenye
Awe na ufaulu wa div 4 au 3 tuu sasa Kwa wale wenye div 1 na 2 hawatakiwi au inakuwaje
Wenye one na two wanajitambua mtatuharibia dili la kuchakachua matokeo ya chaguzi maana mnajitambua.
 
Mbona nasikia hamtoi ruhusa za kwenda kusoma huko ktk 'geshi la polishi' labda wa kozi elekezi ndio mnawaruhusu.

ni kweli ruhusa hazitoki ndugu,tunapenda watu wasome,ila ukiweka mazingira wezeshi kwa kila mhitaji kazi zinasimama.

cha msingi watu wamepewa uhuru wa kuongeza elimu bila kuathiri utendaji na vyeti vipya vinapokelewa bila kuhoji ruhusa ilipatikania wapi.
 
Nilitaka kuapply mana napenda sana kuwa traffic. Ila nilighairi nilippoona eti wanahtaji div3 na 4
 
Mlioomba, wenye ujuzi na maaskari mtupe A-B wadogo zenu tuombe kabla ya dirisha kufungwa.
 
Kwa hiyo kama ukishamaliza kujiendeleza unawapa gamba tu
ni kweli ruhusa hazitoki ndugu,tunapenda watu wasome,ila ukiweka mazingira wezeshi kwa kila mhitaji kazi zinasimama.

cha msingi watu wamepewa uhuru wa kuongeza elimu bila kuathiri utendaji na vyeti vipya vinapokelewa bila kuhoji ruhusa ilipatikania wapi.
 
Safi
Tunawaomba wale vijana wanapendekeza Polisi wawe na Maadili mema waombe hizi nafasi za kazi.
Tunaomba pia kama kijana anafahamika hana maadili mema basi wenye ushahidi wapeleke kwa waajiri, ili waondolewe katika nafasi hizo wale ambao wataomba hizo nafasi zilizotangazwa.
 
Back
Top Bottom