bazuky
Member
- Sep 5, 2021
- 26
- 21
Ndio mzee mi nilipiga Cbg naona wamechukua pcb na pcm
duh balaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mzee mi nilipiga Cbg naona wamechukua pcb na pcm
Makao makuu Dodoma
Ahaaa kumbeUlikosea kuapply makao makuu kwa level yako, kama ulisoma tangazo vzr utagundua. Waliokua wanatuma direct makao makuu ni kuanzia certificate
Ahaaa kumbe
Ahaa okNdio boss... ndo maana Tangazo la mwisho linasema form four na six, watafuatilia majina kwa makamanda wa mikoa,
Usaili umeanza baadhi ya mikoaKabisa
Sinauhakika na dsmNa Dar es salaam ikiwemo?
Labda ametuma kwa RPC Dodoma..Ndio boss... ndo maana Tangazo la mwisho linasema form four na six, watafuatilia majina kwa makamanda wa mikoa,
Mtawasumbua kuhoji hoji,huko wanataka wakisema kudai katiba ni uvunjifu wa sheria mseme ndioKwahiyo tuliopata ufaulu wa daraja la I na II haturuhusiwi kuomba ama!
KUMAMKE NIMEAPPLY DODOMA NANI AMESOMA HILI GAZETI?Habari zenu Wakuu.Nimeona Gazeti la Habari Leo hii taarifa.Kuna Mwenye kuelewa taarifa kamili.Kuhusu Ajira za Jeshi la Polisi
View attachment 1928912
NANI AMESOMA UKURASA WA TATU WA HII HABARI?Habari zenu Wakuu.Nimeona Gazeti la Habari Leo hii taarifa.Kuna Mwenye kuelewa taarifa kamili.Kuhusu Ajira za Jeshi la Polisi
View attachment 1928912
MKOA GANI KUDADEKI NANnachojua usaili umeshaanza mikoani kwa vijana wa form 4 na six
MAJINA YAO SASANimeulizia nimeambiwa hao 600 ni wale wa form 4$6
Majina yako wapi??? Naomba unisaveNdo niliapply huko Ila sijaona jina langu mkuu
MSAADA WA MAJINANdio mzee mi nilipiga Cbg naona wamechukua pcb na pcm
NIME APPLY DODOMA NATHANI JINA LANGU LIKO KATI YA YAHAYO 600 AISEE MWENYE HAYO 600 ANISAVEUsaili umeanza baadhi ya mikoa