Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

MAZEE NIME APPLY DODOMA KWA ALIYOYAONA HAYO MAJINA ANISAVE
Wewe ni mwehu, umeona shida gani? Kwenda kutafuta hilo gazeti ili upate kusoma hayo majina. Acha kujidhalilisha kwa vitu vidogo vidogo kama hivi.
 
Mzee siwezi kulipata ndo maana
 
Wewe ni mwehu, umeona shida gani? Kwenda kutafuta hilo gazeti ili upate kusoma hayo majina. Acha kujidhalilisha kwa vitu vidogo vidogo kama hivi.
Acha tu niwe mwehu kwa mambo ya msingi
 
Hayo majina ni kwa mkoa wa dodoma tu ? Au tz nzima ?nnachojua elimu ya juu ndo walituma dodoma ila 4 na 6 mikoa labda uniambie hizo 600 ni za mkoa wa dodoma tu walioitwa
 
Mkoa wa dodoma tuuu unayo?
 
Jeshi gani linatumika kiseng.seng na wanasiasa jeshi ni jwtz peke yake.
 
Back
Top Bottom