jogoo wa maajabu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 773
- 1,589
Acha kuwakatisha tamaa vijana wenzangu boya wewe utaki wapate ajira ?? Ama kazi yako ndo nzuri kuliko zingne....Jeshi gani linatumika kiseng.seng na wanasiasa jeshi ni jwtz peke yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuwakatisha tamaa vijana wenzangu boya wewe utaki wapate ajira ?? Ama kazi yako ndo nzuri kuliko zingne....Jeshi gani linatumika kiseng.seng na wanasiasa jeshi ni jwtz peke yake.
Narudia Tena polisi ni jeshi la wajinga hutaki kufaAcha kuwakatisha tamaa vijana wenzangu boya wewe utaki wapate ajira ?? Ama kazi yako ndo nzuri kuliko zingne....
Unaliwa kinyeo.Acha madogo wapate watakacho.Hakuna kazi iliyobora kikubwa tunafanya hizi kazi ili kutoboa maisha.Jeshi gani linatumika kiseng.seng na wanasiasa jeshi ni jwtz peke yake.
UnamatatizoJeshi gani linatumika kiseng.seng na wanasiasa jeshi ni jwtz peke yake.
Ya kutotaka katiba mpya ndioUnamatatizo
HahahahaYa kutotaka katiba mpya ndio
Maswali ya kipuuzi ambsyo mtu wa aliyepata daraja la kwanza au la pili hatakiwi kuuliza.Kwahiyo tuliopata ufaulu wa daraja la I na II haturuhusiwi kuomba ama!
Hongera mzee, jiandae kwa interview. Ila majina bdo hayajatoka cha muhimu uwe una tembelea tovuti ya jeshi la polisi mara kwa mara.. Google (polisi ajira) utakuta taarifa zote humoTumesoma na tuna A CLASS MZEE
Mzee ajira zetu USAILI imetoka GAZETI LA JANA LA HABARI LEO TAR 8/9/2021 NIMELITAFUTA KAMA DHAHABU SIJALIPATAHongera mzee, jiandae kwa interview. Ila majina bdo hayajatoka cha muhimu uwe una tembelea tovuti ya jeshi la polisi mara kwa mara.. Google (polisi ajira) utakuta taarifa zote humo
Mwanasayansi una A class unataka upolisi, utateseka Sana uko polisi mzeeMzee ajira zetu USAILI imetoka GAZETI LA JANA LA HABARI LEO TAR 8/9/2021 NIMELITAFUTA
Amna shida hivyo hivyoMwanasayansi una A class unataka upolisi, utateseka Sana uko polisi mzee
Nmeona umeanzisha uzi wameufuta[emoji44][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] eti dau laki moja[emoji23][emoji23]Mzee ajira zetu USAILI imetoka GAZETI LA JANA LA HABARI LEO TAR 8/9/2021 NIMELITAFUTA KAMA DHAHABU SIJALIPATA
Mkuu hayo majina hayapo online wamebandika makao makuu polisi DodomaMSAADA WA MAJINA
Hahaha Hali ngumu aisee naona wamechukua pcb na pcm failureAmna shida hivyo hivyo
Tumesoma na tuna A CLASS MZEE
Mkuu hayo majina hayapo online wamebandika makao makuu polisi Dodoma
Vijana tulieni kwa wale wenye elimu ya kuanzia Astashahada,Stashahada,Shahada waendelee kusubiria majina yatatolewa kupitia tovuti ya polisi.go.tz
Wale wa kidato cha nne na sita majina yao watayakuta kwenye mbao za matangazo katika ofisi za RPC,RC katika mikoa waliyoombea nafasi..
Tanga leo usaili unafanyika ofisi za RPC.
Hapana siyo kubwa,si wameshachuja watu wao wenye sifa ndiyo wamewaita kwahiyo namba ni ndogo tu huwezi kufananisha na usaili kama wa Utumishi nafasi 20 wanaita watu 11,000..Vipi nyomi ya tanga kwenye usaili ipoje..