Jeshi la uhamiaji lipo chini ya wizara ya mambo ya ndani ya nchi idara ya Uhamiaji,mbna ipo clearly kbisaTangazo lao la kazi umeliona lkn View attachment 2448651
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio nmemuwekea hapo aone mwnywe, wenyewe wanaitambua km idara yeye nani aitambue km jeshi?Uhamiaji wengi wanasema imepewa hadhi ya kuwa Jeshi lakini kwenye tangazo lao la Ajira mwaka huu Desemba bado wameandika "IDARA YA UHAMIAJI"
jkt iko ndani ya jwtz mkuuHAta JWTZ ipo chini ya Wizara ya ulinzi na Jkt..kwahyo nayo ni idara??
Jw,Police,uhamiaji ,zimamoto haya yote ni majeshi na majuzi hivi wale wa uhifadhi misitu walibadilishwa kua jeshi
Sas km ni hvo wangeandika jeshi la uhamiaji. Lkn hapo imeitwa idara ya uhamiaji. Usigeuze mambo babaJeshi la uhamiaji lipo chini ya wizara ya mambo ya ndani ya nchi idara ya Uhamiaji,mbna ipo clearly kbisa
Ndio imepewa hadhi mkuu ya jeshi lkn linaendeshwa na wizara ya Mambo ya ndani hata wakubwa wengi wa hili jeshi hawajapata mafunzo ya kijeshi nadhani,kiufup uhamiaji ni kwaajil ya kuhudumia wananchi wa ndani na kigeni kwnye masuala ya uraia na mipka kiujumlaUhamiaji wengi wanasema imepewa hadhi ya kuwa Jeshi lakini kwenye tangazo lao la Ajira mwaka huu Desemba bado wameandika "IDARA YA UHAMIAJI"
Bado sijapata jibu sahihi hapa.Jwtz ipo chini ya wizara ya ulinzi, same applied na polisi, uhamiaji, magereza etc zipo chini ya wizara ya mambo ya ndani.
Au uwezo wangu ni mdogo kupambanua mambo ya kikatiba yenye uelewa mpana, naomba msaada hapa kiongozi.
Huyu haelewi kbs. Jwtz iko chin ya wizara ya ulinzi. JWTZ ina idara 5 tu ikiwemo jkt [emoji1787][emoji1787].HAta JWTZ ipo chini ya Wizara ya ulinzi na Jkt..kwahyo nayo ni idara??
Jw,Police,uhamiaji ,zimamoto haya yote ni majeshi na majuzi hivi wale wa uhifadhi misitu walibadilishwa kua jeshi
Saf kbsjkt iko ndani ya jwtz mkuu
Kwani ni zambi mkuu sioni tatizo lolote iwe idara isiwe idara tunaomba kazi ivyo ivyo hatujaja kutafuta sifa,tafuta hela usitafute sifa kijana [emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio nmemuwekea hapo aone mwnywe, wenyewe wanaitambua km idara yeye nani aitambue km jeshi? View attachment 2448654
Bas Hilo sio jeshi ni idara tuNdio imepewa hadhi mkuu ya jeshi lkn linaendeshwa na wizara ya Mambo ya ndani hata wakubwa wengi wa hili jeshi hawajapata mafunzo ya kijeshi nadhani,kiufup uhamiaji ni kwaajil ya kuhudumia wananchi wa ndani na kigeni kwnye masuala ya uraia na mipka kiujumla
Hujakatazw kikubwa tunarekebishana tuKwani ni zambi mkuu sioni tatizo lolote iwe idara isiwe idara tunaomba kazi ivyo ivyo hatujaja kutafuta sifa,tafuta hela usitafute sifa kijana [emoji28]
Sijakataa kaka ila yote yapo chini ya wizara moja...jkt iko ndani ya jwtz
Ni idara sawa je kuna shida yoyote???[emoji1787][emoji1787]Bas Hilo sio jeshi ni idara tu
Embu mueleweshe vzuri landa atakuelewa ww..si unajua walimu tupo tofautHuyu haelewi kbs. Jwtz iko chin ya wizara ya ulinzi. JWTZ ina idara 5 tu ikiwemo jkt [emoji1787][emoji1787].
Kwhyo jkt ni idara moja wapo katika zile idara tano za Jw
JWTZ na idara zngn wanafanya kazi kwa kutegemeana lkn ni idara tofauti kbs tna zenye miundo tofauti piaSijakataa kaka ila yote yapo chini ya wizara moja...
Kama hauna vigezo ndio utoe povu,hata kama ukisema siyo idara ni jeshi tutaomba na hata ukisema ni idara siyo Jeshi tunaomba mkuu, umekaririHujakatazw kikubwa tunarekebishana tu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni idara sawa je kuna shida yoyote???[emoji1787][emoji1787]
Kwel kbs tuombe tu[emoji23][emoji23]Kisheria tayari uhamiaji ni Jeshi si mda mrefu apo nyuma ilipewa hadhi ya Jeshi,hata kama bado bado wanaiita idara sijaona shida Yoyote ile kwa kweli,Vijana ambao tuna vigezo tusiache kuomba.