Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Uhamiaji wengi wanasema imepewa hadhi ya kuwa Jeshi lakini kwenye tangazo lao la Ajira mwaka huu Desemba bado wameandika "IDARA YA UHAMIAJI"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio nmemuwekea hapo aone mwnywe, wenyewe wanaitambua km idara yeye nani aitambue km jeshi?
Screenshot_20221216-121217.jpg
 
Jeshi la uhamiaji lipo chini ya wizara ya mambo ya ndani ya nchi idara ya Uhamiaji,mbna ipo clearly kbisa
Sas km ni hvo wangeandika jeshi la uhamiaji. Lkn hapo imeitwa idara ya uhamiaji. Usigeuze mambo baba
 
Uhamiaji wengi wanasema imepewa hadhi ya kuwa Jeshi lakini kwenye tangazo lao la Ajira mwaka huu Desemba bado wameandika "IDARA YA UHAMIAJI"
Ndio imepewa hadhi mkuu ya jeshi lkn linaendeshwa na wizara ya Mambo ya ndani hata wakubwa wengi wa hili jeshi hawajapata mafunzo ya kijeshi nadhani,kiufup uhamiaji ni kwaajil ya kuhudumia wananchi wa ndani na kigeni kwnye masuala ya uraia na mipka kiujumla
 
HAta JWTZ ipo chini ya Wizara ya ulinzi na Jkt..kwahyo nayo ni idara??
Jw,Police,uhamiaji ,zimamoto haya yote ni majeshi na majuzi hivi wale wa uhifadhi misitu walibadilishwa kua jeshi
Huyu haelewi kbs. Jwtz iko chin ya wizara ya ulinzi. JWTZ ina idara 5 tu ikiwemo jkt [emoji1787][emoji1787].
Kwhyo jkt ni idara moja wapo katika zile idara tano za Jw
 
Ndio imepewa hadhi mkuu ya jeshi lkn linaendeshwa na wizara ya Mambo ya ndani hata wakubwa wengi wa hili jeshi hawajapata mafunzo ya kijeshi nadhani,kiufup uhamiaji ni kwaajil ya kuhudumia wananchi wa ndani na kigeni kwnye masuala ya uraia na mipka kiujumla
Bas Hilo sio jeshi ni idara tu
 
Kisheria tayari uhamiaji ni Jeshi si mda mrefu apo nyuma ilipewa hadhi ya Jeshi,hata kama bado bado wanaiita idara sijaona shida Yoyote ile kwa kweli,Vijana ambao tuna vigezo tusiache kuomba.
 
Huyu haelewi kbs. Jwtz iko chin ya wizara ya ulinzi. JWTZ ina idara 5 tu ikiwemo jkt [emoji1787][emoji1787].
Kwhyo jkt ni idara moja wapo katika zile idara tano za Jw
Embu mueleweshe vzuri landa atakuelewa ww..si unajua walimu tupo tofaut
 
Kisheria tayari uhamiaji ni Jeshi si mda mrefu apo nyuma ilipewa hadhi ya Jeshi,hata kama bado bado wanaiita idara sijaona shida Yoyote ile kwa kweli,Vijana ambao tuna vigezo tusiache kuomba.
Kwel kbs tuombe tu[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom