Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kwani ni zambi mkuu sioni tatizo lolote iwe idara isiwe idara tunaomba kazi ivyo ivyo hatujaja kutafuta sifa,tafuta hela usitafute sifa kijana [emoji28]
wanatak kuvimba tuu,sisi tulio ishi uservice ndo tunaelewa maisha yao kule sema hatutoi tuu siri ya kambi ,ndomana hatujali popote tutaomba kazi Jw ni misifa tuu huku mtaani kwa raia wasio wajua hali zao

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
We mgeni kwmye huu uzi ndio mana waniuliza maswali hayo,nishakwambia me nina miaka miwili sasa nafatilia ajira za majeshi, unadhani nafatilia ajira bila kuwa nimepita Jkt
Mbna wapo wanaopiga kozi bila kupita jkt,kikubwa unamjua nani!!.bas ulivo zuzu utaleta ubishi kwny hili
 
Aaaaah sas hapa kaka unahamisha mada. Suala sio maslahi suala ni jeshi au sio jeshi bas hayo ya maisha mazuri sjuw
 
We mgeni kwmye huu uzi ndio mana waniuliza maswali hayo,nishakwambia me nina miaka miwili sasa nafatilia ajira za majeshi, unadhani nafatilia ajira bila kuwa nimepita Jkt
Unaona jns ulivo mburula,w2 tuna zaidi ya hii miwili unayosema wew bwashekh hlf kukomalia k2 kw mda mrefu haikufanyi ukijue,ndio maana wapo wanaomaliza lasaba miaka 7 hawajuw kusoma.
 
Aaaaah sas hapa kaka unahamisha mada. Suala sio maslahi suala ni jeshi au sio jeshi bas hayo ya maisha mazuri sjuw
yan mkuu Tz kuna Majeshi ya ulinzi na usalama , idara ipo ya usalama wa taifa, yale majeshi yote yanayo pita kwenye Parade ya Taifa ni Majeshi ya ulinzi na usalama.JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA,JESHI LA POLISI ,JESHI LA MAGEREZA, JESHI LA ZIMAMOTO , Sahizi wameongezeka na JESHI LA UHAMIAJI.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Safi,sas mim swali langu ni dg tu kwanin kwny hzi ajira za uhamiaji wameandika idara ya uhamiaji badala ya jeshi la uhamiaji?
 
hahahaa hapo sielewi sasa nyie endeleeni kubishana uzi usi poe

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Sas km hv waeleweshaji wenyewe nyie hamjuw ndio mnataka nikubali kirahisi tu kuwa uhamiaji ni jeshi.hlf m2 anajisemea tu wew mbishi sn,ubishi wangu wa hoja ukiweza kupangua hoja yangu naungana na wewe.[emoji1787][emoji1787]
 
Nishakwambia hadi tarehe na mwezi uhamiaji ilipo rasimishwa kuwa Jeshi bado unataka kubishana,we ni mweupe Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…