Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

jaman kwa mwenye uelewa kwahyo jwtz wakishachukuliwa military science ndio basi tena hawachukui tena au inakuaje kuna nafasi nyingine zitatangazwa
Nimeona umeuliza mara nyingi bila jibu. Sio kwamba watu hawaoni ila nadhani hawana jibu. Binafsi sijui asee kama hawa jamaa watatoa ajira au vipi. Tusubiri. Ila wakati unasubiri apply kwingine pia.
 
Nimeona umeuliza mara nyingi bila jibu. Sio kwamba watu hawaoni ila nadhani hawana jibu. Binafsi sijui asee kama hawa jamaa watatoa ajira au vipi. Tusubiri. Ila wakati unasubiri apply kwingine pia.
tatizo jwtz wnapenda kuchukua walioko makambini na mujibu wa sheria,tuliokitaa uwe na fani hasa MD
 
Hivi sorry naomba kuuliza kuhusu ajira hizi za jwtz hivi wakishachukuliwa military science wale form six ndio inakuwa ndio bc tena hawachukui tena au kuna nafasi nyingine zitatolewa
Hamna mkuu kama nafasi zipo zipo tu kibali kikitoka wanaweza hata kuchukua awamu mbili kwa mwaka moja shida ni uhitaji tu na kibali . ila Military science mara nyingi wanachukuliwa mkiwa mujibu wa sheria. Ukikosa military science ingia hata ya kawaida nimeskia lonja mwezi wa pili wanakuja.
 
Polisi ni raia mkakamavu muraa ova
Hiyo ni misemo tu.
Ila mission nyingi tu nchini zinafanywa na hao polisi wakishirikiana na jwtz(joint op) mfano kibiti,Amboni na hata huko Mtwara kuna joint Operation,pia mission za ulinzi wa amani polisi wanaenda na hao jwtz sasa hapo unamuaanderate vipi polisi.!! Eti raia!raia ya kimaku kwenu.[emoji23]

wanajeshi wa darasa la 7 mnatupa kazi kuwaelewesha.Jitu limeng'ang'ana kwamba oooh Tz jeshi ni moja tu ila sisi wasomi hatupo kisiasa,tunaangalia katiba inasemaje stop.
 
ok
Nimeona umeuliza mara nyingi bila jibu. Sio kwamba watu hawaoni ila nadhani hawana jibu. Binafsi sijui asee kama hawa jamaa watatoa ajira au vipi. Tusubiri. Ila wakati unasubiri apply kwingine pia.
shukran san nimekuelewa
 
Zitatoka tu apply kwanza polisi na uhamiaji lolote laweza tokea maana yawezekana February wakatoa.
aha hapo sawa nimekuelewa mkuu maana kuna mtu alinambia amenitafutia connection nijiandae mwezi wa pili mwakani sasa nkawa napata ukakasi kama kuna ukweli hapo maana military wao wameanza mwezi wa 11 mwishoni
 
yeah hapo sawa nimeamini kuna mtu ameniambia pia mwezi wa pili wanatangaza
 
aha hapo sawa nimekuelewa mkuu maana kuna mtu alinambia amenitafutia connection nijiandae mwezi wa pili mwakani sasa nkawa napata ukakasi kama kuna ukweli hapo maana military wao wameanza mwezi wa 11 mwishoni
Military baadhi wameenda nje ya nchi wiki hii kuanza kozi Lakin kuna askari baadhi wameenda monduli kuanza ofsa cadet.

Kwa lonja iliyopo ni kuwa Jwtz February wanacheka.
 
y
Military baadhi wameenda nje ya nchi wiki hii kuanza kozi Lakin kuna askari baadhi wameenda monduli kuanza ofsa cadet.

Kwa lonja iliyopo ni kuwa Jwtz February wanacheka.
yaani kwa njaa iliopo kitaa usubirie wapili ,na kumbukeni ni lonja tu hio haiina verification yoyote ,kwangu mm hata fire nataka nirushe japo changamoto umri shida fire
 
Msaada kwa tulio kua dar es salaam haya maombi ya polisi tunatuma kwa makamanda wabkipolisi wa mkoa wa kinondoni au temeke au tunatuma kwa kamanda wa polisi kanda maalumu ya dar es salaam.....na ofice za kamanda mkuu wa mkoa wa dar es salaam kwa anayefahamu zilipo tafadhali nataka nipeleke hizi document zangu......🙏🙏
 
Zipo kurasini pale.

Nenda kituo cha polisi cha kilwa road then maafande watakuelekeza vizuri tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nachoomba nipate tu mchongo huko uhamiaji... So km sijui ni jeshi, sijui taasisi, sijui polisi mimi binadsi sijali hayo mambo!!! Cha muhimu niishi tu mwisho wa mwez[emoji23]
Hivi uhamiaji waliposema watatoa kipaumbele ya fani ya udereva,nikituma maombi kwa cheti cha degree na udereva ila sina jkt nitatoboa kweli ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…