BlackHermito
JF-Expert Member
- Oct 15, 2020
- 748
- 1,131
Nimeona umeuliza mara nyingi bila jibu. Sio kwamba watu hawaoni ila nadhani hawana jibu. Binafsi sijui asee kama hawa jamaa watatoa ajira au vipi. Tusubiri. Ila wakati unasubiri apply kwingine pia.jaman kwa mwenye uelewa kwahyo jwtz wakishachukuliwa military science ndio basi tena hawachukui tena au inakuaje kuna nafasi nyingine zitatangazwa