MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Shida ni hapo barcode posta unapewa control number sijui una track vpKama umetuma kwa EMS unaweza ku track kama barua yako imefika au bado haijafika kwa kutumia hiyo link
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida ni hapo barcode posta unapewa control number sijui una track vpKama umetuma kwa EMS unaweza ku track kama barua yako imefika au bado haijafika kwa kutumia hiyo link
Hivi ukilipa lazima urudi tena posta ?Hiyo apo bar code,sasa apo mwishoni Ni Tz au kaandikaje miandiko sometime inachanganyaView attachment 2452662
Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
Inazingua kweny bar codeKama umetuma kwa EMS unaweza ku track kama barua yako imefika au bado haijafika kwa kutumia hiyo link
Niwekee mkuu ya kwangu basi kama itakubali kwako [emoji2]wakuu ingia gugo,then andika EMS tanzania itafunguka then utabonyeza posta tracking system kisha kuna jedwali itaonekana utaweka barcode zote zilizopo kwenye risiti yako
poa mkuuNiwekee mkuu ya kwangu basi kama itakubali kwako [emoji2]
Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
results- barcode not found mkuuNiwekee mkuu ya kwangu basi kama itakubali kwako [emoji2]
Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
lete yako nijaribu piaShida ni hapo barcode posta unapewa control number sijui una track vp
Mimi sijatuma naulizalete yako nijaribu pia
Ndio maana nikauliza hili swali mi nilishazoea naenda naacha mzigo wangu unapewa control number anakwambia ukilipa bank au kwa wakala tembea hiviHivi ukilipa lazima urudi tena posta ?
unarudi kwa mhudumu anakupa mkuuMimi sijatuma nauliza
Posta mara nyingi wanakupa control number unaenda lipa mimi nilikuwa nafanya hivyo
Na barua nyingi nilizotuma nakumbuka mwaka juzi risiti za crdb hazina kabisa barcode ningekuwa na risiti humu ndani ningepiga picha uone zina jina lako tu ,namba yako ,bill number nakadhalika sasa ukitaka upate bar code unafanyaje
Embu nieleweshe hii ni muhimu sana sikujua kabisa hii huduma ya tracking ipo
serikali ni saakumi hv.jitahidi uwaendee mkuu wangu
yawezekana alikosea kukopi hzi namba mkuu.jaribu kuwaendea kozi nimezijaribu lkn wapi zimegomesha
Ahaaunarudi kwa mhudumu anakupa mkuu
Asante Sana,Nimeenda tayari,nimeona barua yangu imepokelewa toka tarehe 17 .,na somebody called Uremboserikali ni saakumi hv.jitahidi uwaendee mkuu wangu
Nimeenda pia kanipa bar code nyengine nadhani alikoseayawezekana alikosea kukopi hzi namba mkuu.jaribu kuwaendea kozi nimezijaribu lkn wapi zimegomesha
Ndio uzuri wa EMS huu.Asante Sana,Nimeenda tayari,nimeona barua yangu imepokelewa toka tarehe 17 .,na somebody called UremboView attachment 2452749
Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app