Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

wakuu ingia gugo,then andika EMS tanzania itafunguka then utabonyeza posta tracking system kisha kuna jedwali itaonekana utaweka barcode zote zilizopo kwenye risiti yako
 
Attachments

  • Screenshot_20221220-142301.png
    Screenshot_20221220-142301.png
    36.7 KB · Views: 14
lete yako nijaribu pia
Mimi sijatuma nauliza

Posta mara nyingi wanakupa control number unaenda lipa mimi nilikuwa nafanya hivyo

Na barua nyingi nilizotuma nakumbuka mwaka juzi risiti za crdb hazina kabisa barcode ningekuwa na risiti humu ndani ningepiga picha uone zina jina lako tu ,namba yako ,bill number nakadhalika sasa ukitaka upate bar code unafanyaje

Embu nieleweshe hii ni muhimu sana sikujua kabisa hii huduma ya tracking ipo
 
Hivi ukilipa lazima urudi tena posta ?
Ndio maana nikauliza hili swali mi nilishazoea naenda naacha mzigo wangu unapewa control number anakwambia ukilipa bank au kwa wakala tembea hivi

Siku nyengine ikitokea kutuma lazima ninakili barcode maana pia nasikia ipo kwenye stika juu ya barua wakibandika pale
 
Mimi sijatuma nauliza

Posta mara nyingi wanakupa control number unaenda lipa mimi nilikuwa nafanya hivyo

Na barua nyingi nilizotuma nakumbuka mwaka juzi risiti za crdb hazina kabisa barcode ningekuwa na risiti humu ndani ningepiga picha uone zina jina lako tu ,namba yako ,bill number nakadhalika sasa ukitaka upate bar code unafanyaje

Embu nieleweshe hii ni muhimu sana sikujua kabisa hii huduma ya tracking ipo
unarudi kwa mhudumu anakupa mkuu
 
unarudi kwa mhudumu anakupa mkuu
Ahaa

Hata hivyo kuna mtu nimemuuliza sahivi anasema ukilipa bank ukapata ile slip ni sawa tu hata usipoirudisha. ila ile risiti ya bank hakuna barcode ndio maana mimi nilikuwa nashangaa

Ila kama ukirudisha slip wanakupa risiti posta ambayo ndio ndani ipo hyo barcode

Shukran mkuu ila kwakuwa nimejua kuna ku track sahivi nafata risiti kama huko mbeleni nitakuja kutuma

Ni muhimu sana kujua kama mzigo wako umefika
 
Wakuu kwny hili tangazo la uhamiaji mbona sioni tar waliyotangaza ajira? Usikute kwa interview unaulizwa tar iliyotoka tangazo [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom