mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
sote tufanikiwe wakuuAsante Sana,Nimeenda tayari,nimeona barua yangu imepokelewa toka tarehe 17 .,na somebody called UremboView attachment 2452749
Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
Muhimu tuzidishe dua& Maombi jah ablesi benchi la kitaa halivumilikiNimeenda pia kanipa bar code nyengine nadhani alikosea
Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
yaah uwe na barua ya kukubaliwa na boss wako. ila zingine haziruhusu waajiriwa kutoka taasisi za ummaWadau naomba niwaulize swali tafadhali.
Hivi inawezekana mtu aliyeajiriwa tayari na majeshi yetu ya ulinzi na usalama akaomba nafasi za kazi ambazo zinatangazwa na PSRS kama kada nyingine wanavyofanya?.
Sent using Jamii Forums mobile app
vp unataka ukimbie jeshi siku za usoni mkuu?Wadau naomba niwaulize swali tafadhali.
Hivi inawezekana mtu aliyeajiriwa tayari na majeshi yetu ya ulinzi na usalama akaomba nafasi za kazi ambazo zinatangazwa na PSRS kama kada nyingine wanavyofanya?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu ni hapanaWadau naomba niwaulize swali tafadhali.
Hivi inawezekana mtu aliyeajiriwa tayari na majeshi yetu ya ulinzi na usalama akaomba nafasi za kazi ambazo zinatangazwa na PSRS kama kada nyingine wanavyofanya?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelewa swali lake mkuu? Anahitaji kutoka kwenye ajira za majeshi na kuhamia taasis nyingineJibu ni hapana
Ukisoma kwenye vigezo vya hizi ajira za majeshi wanasema " asiwe ameajiliwa serikalini"
View attachment 2452880
Asante mfwende kwa madini.yaah uwe na barua ya kukubaliwa na boss wako. ila zingine haziruhusu waajiriwa kutoka taasisi za umma
[emoji28] Hapana mkuu siunajua tena mambo ya fursa na kukua kiuweledi.vp unataka ukimbie jeshi siku za usoni mkuu?
Barua yako ulituma lini??Asante Sana,Nimeenda tayari,nimeona barua yangu imepokelewa toka tarehe 17 .,na somebody called UremboView attachment 2452749
Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
Punguza mteruWakuu kwny hili tangazo la uhamiaji mbona sioni tar waliyotangaza ajira? Usikute kwa interview unaulizwa tar iliyotoka tangazo [emoji23][emoji23]
Leta story ya kueleweka basiWanangu tingisheni mibanga TPDF uko
Acheni kulala mambo yameanza uhakika siwatanii
vp unataka ukimbie jeshi siku za usoni mkuu?
Vp course imeanza ?Wanangu tingisheni mibanga TPDF uko
Acheni kulala mambo yameanza uhakika siwatanii
Bado naona tu simu zimeanza kupigwaVp course imeanza ?
mchawi mbanga sijui namtolea wapi??Bado naona tu simu zimeanza kupigwa
Alooo
Hzi za upolisi tu na uhamiaji tunakosa wabanga hizo nyengine mhhhAlooo