Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wadau naomba niwaulize swali tafadhali.

Hivi inawezekana mtu aliyeajiriwa tayari na majeshi yetu ya ulinzi na usalama akaomba nafasi za kazi ambazo zinatangazwa na PSRS kama kada nyingine wanavyofanya?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaah uwe na barua ya kukubaliwa na boss wako. ila zingine haziruhusu waajiriwa kutoka taasisi za umma
 
Wadau naomba niwaulize swali tafadhali.

Hivi inawezekana mtu aliyeajiriwa tayari na majeshi yetu ya ulinzi na usalama akaomba nafasi za kazi ambazo zinatangazwa na PSRS kama kada nyingine wanavyofanya?.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu ni hapana
Ukisoma kwenye vigezo vya hizi ajira za majeshi wanasema " asiwe ameajiliwa serikalini"

IMG_20221220_182415.jpg
 
HUwa nawaambia na siachi kuwakumbusha hizi kazi kama huzipendi kutoka moyoni...utateseka sana
Ukijitahidi sana utakaa kazini miaka zaidi ya mitatu utaanza kuiona ya kawaida na utatatamani kutoka..
vp unataka ukimbie jeshi siku za usoni mkuu?
 
Back
Top Bottom