Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ambao Hamna Kitambulisho Cha NIDA attach kitambulisho chochote either leseni,kitambulisho cha kura au passport then unaprint na NIDA namba yako second option kuna vitambulisho vya NIDA Vinatolewa online pia vinakubalika unaweza kuvisearch then ukaprint uattach.angalizo muwe makini sana kuaatach documents makosa ni mengi sana hasa kwenye wasifu yaani CV Jitahidi kuweka cv zenu vzr copies hakikisha ukiscan inaonekana vzr haiko faint
NB usisahau attachment yoyoye hiyo ni kigezo cha kwanza cha kukupunguza Kila La Kheri Wakuu.Karibuni Idarani
 
unanipa vibe mkuu,napakubali sana idarani
 
Ninaswali kiongozi

Nina pacha wangu ana kabachelor ila hakana application maana ni kozi ya mchongo, yaani hata ukimuuliza umesomea nini anashindwa kujujibu.

Sasa ameomba uhamiaji kwa cheti cha form 6.
NA ameandIKa CV kwasababu anajua alama za viziwi ila hana cheti. Hii imekaaje wakuu au ndio kachoma nyasi hapo.
 
Akamalizie Course Mkuu Apate Cheti Ila Sio Mbaya Kujaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…