Professionals sio poa mkuu.Hizo idadi 500 zitazidi trust me. Kumbuka intake iliyopita zilitangazwa nafasi 470 ila wake graduate 800+ [emoji1787][emoji1787]. Ila upo right polisi nafasi ni nyingi as wanachukua watu wengi. Ila nafasi za kupiganisha Mara nyingi ni kwa sisi professionals kazi ndio ipo.
Asante mkuu, mungu atasaidia
Hahahaha mkuu uzi sio wako nawewe uuheshimuHapa sipo mahala pake heshimu lengo la uzi
hvi mkuu lini mtaita watu kwaajili ya usahili?Hahahaha mkuu uzi sio wako nawewe uuheshimu
Unapoteza contents mkuu siyo kwa Nia mbaya,[emoji28][emoji28]Hahahaha mkuu uzi sio wako nawewe uuheshimu
[emoji120]Unapoteza contents mkuu siyo kwa Nia mbaya,[emoji28][emoji28]
Wa kafara nini ? Maana na hizi ajira zilivyotangazwa vijana hamuelewikiKwa walioko Dsm au bagamoyo naomba ambae anauza mbuzi wakubwa kwa bei nzuri anipm please [emoji120]
Walikiwepo wapi muda woteNipo hapa posta Dar naona vijana wanapambania kombe la Uhamiaji
Una cheti cha Jkt?Mtaani kumekuwa kugumu , Nina ujuzi wa kutengeneza program za kompyuta lkn job sipati, Wacha nirushe karata yangu huku
Mtaani kugumu Sana tunaishi hatuna jinsi na namna tu.Mtaani kumekuwa kugumu , Nina ujuzi wa kutengeneza program za kompyuta lkn job sipati, Wacha nirushe karata yangu huku
Mungu atasaidia mzeeMtaani kugumu Sana tunaishi hatuna jinsi na namna tu.
Kunguru kaenda jeshi[emoji23]Hapo hadi usaili uishe majina yatoke ni April ***** [emoji3] wakati huo kina kunguru wa Manzese ndio wanaapa
Wanangu mtasubiri sana mpka mchoke
Mwanangu kunguru wa Manzese alipata Magereza Tanzania.Kunguru kaenda jeshi[emoji23]
Tangazo hukuliona ? Mwezi NovemberMwenye lonja ya magereza au wao ndio imetoka hivyo
Nitafte pmHizo idadi 500 zitazidi trust me. Kumbuka intake iliyopita zilitangazwa nafasi 470 ila wake graduate 800+ [emoji1787][emoji1787]. Ila upo right polisi nafasi ni nyingi as wanachukua watu wengi. Ila nafasi za kupiganisha Mara nyingi ni kwa sisi professionals kazi ndio ipo.