Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hizo idadi 500 zitazidi trust me. Kumbuka intake iliyopita zilitangazwa nafasi 470 ila wake graduate 800+ [emoji1787][emoji1787]. Ila upo right polisi nafasi ni nyingi as wanachukua watu wengi. Ila nafasi za kupiganisha Mara nyingi ni kwa sisi professionals kazi ndio ipo.
Professionals sio poa mkuu.

Unaweza kupigwa ndoige mpaka ukashangaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Suma Jkt wanalipwa Bei gani kuna mtu aliniuliza jana nkashindwa kumjibu
 
Back
Top Bottom