Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hahahahaa!! Umenikumbusha Jambo,mim afande wa zamu alinisingizia nimepoteza silaha,akaniitishia Mwariko, bas baba muda mfupi tu nilizungukwa na maafande km 8 hv,kipigo chake hiko acha kbsaaa!!! Hlf ngoma ilikuw asbh ya mapemaaa kbs konbania zote hazijatawanyika bdo kuelekea kwny majukum,bas macho yote kwangu,ile siwez kbs kuisahau ktk maisha yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…