MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Vipi nyumba za mabati za ma afande wenu ziliboreshwa ?Operesheni tanzania ya viwanda JKT MTABILA KIGOMA
B coy sio ya yule mpemba alikuwa akiisimamia
Mabula na shimika bado wapo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi nyumba za mabati za ma afande wenu ziliboreshwa ?Operesheni tanzania ya viwanda JKT MTABILA KIGOMA
Hapana mkuuu, tena safi sanaa maana tunahitaji watu walio vikosini nao wawepo ili kujuzana ya hapa na pale!! Hasa kwa wapenzi wa TPDF kama tu wewe ni wa kujitolea.au sitakiw kwenye huu uzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]au sitakiw kwenye huu uzi
Kweli inafurahisha... Maana kuna mdau kasema yeye op viwanda.. hata sikumbuki mwaka!![emoji23][emoji23] Ila bosi hapo anasema yeye mama samia!!namimi imenifurahishaa
[emoji23][emoji23][emoji23] na wewe unacheka tena!!![emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii op yenu mmekula shavu sana
Sema sijui kwa nini huwa wanawachekaga
hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii op yenu mmekula shavu sana
Sema sijui kwa nini huwa wanawachekaga
wadogo zangu hawa nmeish nao vizur sana ,tulikuwa tunawaita op mama[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii op yenu mmekula shavu sana
Sema sijui kwa nini huwa wanawachekaga
[emoji23][emoji23] daahwadogo zangu hawa nmeish nao vizur sana ,tulikuwa tunawaita op mama
OP gani ?Kanembwa sisi ilikuw Eagle coy...tulikuw tunakula Doso balaa mpaka tukawa Sugu
Kaka zenu hao [emoji3]
Kwel kbsa kombania zngn makamanda wanakuw fair snInategemea siyo kila Sehem utakuta hivyo,me kikosin kwangu kombi yenye madoso makali ilikuwa ni Danger coy ikifuatwa na Eagle coy
C coy noma sn hyomi nilikua D coy -mafinga operesheni tanzania ya viwanda .kamanda Msangi alitubeba sana. ila C coy walisoteshwa aibu kiasi kwamba walikua wnatamani wahamie kwetu
Hii inategemea na unafahamiaje na mhusika kama humfahafu vema ni ngumu ila kama mnafahamiana sio tatizoMbanga nyingi zinaomba pesa kabla ya majina kutoka , hii imekaaje wakuu.
Mbanga mnapataje aise .
Hahahahaa!! Umenikumbusha Jambo,mim afande wa zamu alinisingizia nimepoteza silaha,akaniitishia Mwariko, bas baba muda mfupi tu nilizungukwa na maafande km 8 hv,kipigo chake hiko acha kbsaaa!!! Hlf ngoma ilikuw asbh ya mapemaaa kbs konbania zote hazijatawanyika bdo kuelekea kwny majukum,bas macho yote kwangu,ile siwez kbs kuisahau ktk maisha yangu.TUlipigwa kozi ngumu mujibu wa sheria mpaka maafande wakasema nyie mmeiva kuliko wale wa kujitolea miezi 6...maana wale wa kujitolea OP yetu wengi walikuja na maelekezo kwahyo kozi ililainishwa kidogo
Halfu bravo tulipigwa doso la maana halfu kwa kuongezea kuna siku tulidoji mabio..tulivyodakwa lile doso tulilopigwa ni hatari baada ya hapo nilijiona nimeiva sana aise
Hali ngumu kaka w2 wanajaribu jaribu tu itaaeleweka ukoukoKuna ambao hawana vyeti vya Jkt lkn wametuma maombi ya Uhamiaji alafu ni wengi tu.
,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]CCP pale hawataki mchezo kabisa ukiingia kinyemela utarudi kinyemela .
mbanga unakuambia usiwe na presha unapndoka,yanakuja majina hata 80 haumo dadeq[emoji16][emoji23]Mbanga nyingi zinaomba pesa kabla ya majina kutoka , hii imekaaje wakuu.
Mbanga mnapataje aise .