Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

[emoji23][emoji23]si urudi kesho ukafanye hivyo
Leo alikuja muhimbili pale kuchek wagonjwa wodi ya watoto,nlikuw nmejizuka zangu kwny bench la kusubr nawaza km naweza toboa uhamiaji. Mara paap!! Naon harakati za wajomba wanaingia na w2 wamepiga masuti tu wengn Wana makamera kbsa!! Kuangalia vzr namuon mzee baba kawekwa kati! Hlf wanakuja uelekeo wangu, Daaah nlitaman nipige goti na kilio huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
UJobless mbaya.
 
[emoji23]
 
Hivi hizi za polisi kama umesoma mpaka bachelor ila umeamua kuomba na cheti cha form 4 tu imekaaje.? Maana degree nyingine wengine ni za kipimbi, unaona uitupilie mbali.
 
nimecheck karibia coments za wadau wote wanaikubali idara kuliko polisi
Kokote kambi..... Maisha hayaruhusu kujifanya napenda idara kuliko polisi...!! Nitakupenda kokote nitakapoenda kwa sababu nako kutakuwa kumenipenda!!!

Siwezi fata mkumbo mimi hali ya kuwa maisha yangu nayajua mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hizi za polisi kama umesoma mpaka bachelor ila umeamua kuomba na cheti cha form 4 tu imekaaje.? Maana degree nyingine wengine ni za kipimbi, unaona uitupilie mbali.
Kama umri upo ndani ya lingi hakuna shida mkuu!! Wengine tumekomaa na degree zetu za kipimbi sababu ya umri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…