MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Hii ni platfom kubwa sana watu ina watu mchanganyiko wengi , watu wa kupush wapo.Nakazia hii,Tutoboe sote jamani maisha ndiyo haya haya kusaidiana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni platfom kubwa sana watu ina watu mchanganyiko wengi , watu wa kupush wapo.Nakazia hii,Tutoboe sote jamani maisha ndiyo haya haya kusaidiana
[emoji23][emoji23]si urudi kesho ukafanye hivyoKidg tu nimpigie magoti MP huku naangua kilio,mtaan pagumu sn huend angenionea huruma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dah kuna muda unatamani umwambie mtu mpaka shida zako za kwenye mapenzi ili akuonee tu huruma.Kidg tu nimpigie magoti MP huku naangua kilio,mtaan pagumu sn huend angenionea huruma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawawezi kukosekanaKuna watu wanatumia hadi ndumba kwenye hizi Ajira 😃
Leo alikuja muhimbili pale kuchek wagonjwa wodi ya watoto,nlikuw nmejizuka zangu kwny bench la kusubr nawaza km naweza toboa uhamiaji. Mara paap!! Naon harakati za wajomba wanaingia na w2 wamepiga masuti tu wengn Wana makamera kbsa!! Kuangalia vzr namuon mzee baba kawekwa kati! Hlf wanakuja uelekeo wangu, Daaah nlitaman nipige goti na kilio huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]si urudi kesho ukafanye hivyo
UJobless mbaya.Leo alikuja muhimbili pale kuchek wagonjwa wodi ya watoto,nlikuw nmejizuka zangu kwny bench la kusubr nawaza km naweza toboa uhamiaji. Mara paap!! Naon harakati za wajomba wanaingia na w2 wamepiga masuti tu wengn Wana makamera kbsa!! Kuangalia vzr namuon mzee baba kawekwa kati! Hlf wanakuja uelekeo wangu, Daaah nlitaman nipige goti na kilio huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mbaya sn kaka asikwambie m2.UJobless mbaya.
[emoji23]Leo alikuja muhimbili pale kuchek wagonjwa wodi ya watoto,nlikuw nmejizuka zangu kwny bench la kusubr nawaza km naweza toboa uhamiaji. Mara paap!! Naon harakati za wajomba wanaingia na w2 wamepiga masuti tu wengn Wana makamera kbsa!! Kuangalia vzr namuon mzee baba kawekwa kati! Hlf wanakuja uelekeo wangu, Daaah nlitaman nipige goti na kilio huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Idara kila mtu anaitaka, police ku*t*mba kazi nje nje , ingawa tunaomba pia.nimecheck karibia coments za wadau wote wanaikubali idara kuliko polisi
Ila usiwe mla rushwa tenda hakiThank u champ. jambo jema tukitinga wotee wapambanaji
Kokote kambi..... Maisha hayaruhusu kujifanya napenda idara kuliko polisi...!! Nitakupenda kokote nitakapoenda kwa sababu nako kutakuwa kumenipenda!!!nimecheck karibia coments za wadau wote wanaikubali idara kuliko polisi
Kama umri upo ndani ya lingi hakuna shida mkuu!! Wengine tumekomaa na degree zetu za kipimbi sababu ya umri.Hivi hizi za polisi kama umesoma mpaka bachelor ila umeamua kuomba na cheti cha form 4 tu imekaaje.? Maana degree nyingine wengine ni za kipimbi, unaona uitupilie mbali.
Safi sana, tunywe maji moyo uelee , pdf linatuhusu InshaAllahKama umri upo ndani ya lingi hakuna shida mkuu!! Wengine tumekomaa na degree zetu za kipimbi sababu ya umri.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hukuitwa hata interview?Mwaka uhamiaji walinipiga knock out ya round ya mwanzon kabisa