Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Vijana mna morali kama zote......

Sasa wewe nenda polisi halafu uitwe kuimbisha chenja uimbe "Kazi ya jeshi ni ngumu, sio kama polisi... Pushapu kwenye godoro..[emoji441][emoji444][emoji445]....

[emoji3064][emoji3064]Hapo utatuletea mrjesho nini kitakukuta..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utapigwa KENGE WA PAKISTANI
 
[emoji2]utajua hujui apo CCP
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tutaenda hadi handeni kwa wazee ili tu tupate matokeo Safari hiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi hizi za polisi kama umesoma mpaka bachelor ila umeamua kuomba na cheti cha form 4 tu imekaaje.? Maana degree nyingine wengine ni za kipimbi, unaona uitupilie mbali.
Form four kiukwel wanachukuliw sana wa makambini kwa polisi.. na umri utakuweka pembeni maana ww kama umesoma had umemaliza degree umri wako utakuw mkubwa. Ila kama una mbanga omba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…