Madogo walokuwa na 4 za 28, 29, na 30 kwa mwaka jana kwao ilikuwa ni kitonga!! Hsikujalisha kimo hadi wafupi walipata shavu.Nasikia hii ndio sababu ya kupigwa intro nzito mkifika CCP wanaamin kuwa mliotoka jakata mnawadharau so mnakula kazi ya kuwakaribisha muone [emoji23][emoji23][emoji23] ila dah course ya polisi ndefu. Dogs langu alikaa zaidi ya miezi 9 aliingia na form 4 baada ya kujitolea na D zake 2.. kaka mtu na degree yangu nahaha saiv[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwache alete habari za chuo, si ajabu bado yupo chuo, anasubir kuweka fingerprint
Ndivo inavokuw mkuu,me kna mshikaj alinichana hvohvo.tunawez fanya mchongo lkn akaja mkubwa akatoa akaweka mtu wakekama naziona mbanga zinavo zidiana kete kuweka watu wao
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwakwl ni mwendo wa vimemo tu halafu ww unachora watu unaonekana una connection flan maana una habari za jikoni sanakama naziona mbanga zinavo zidiana kete kuweka watu wao
Uwoga wako ndio umaskini wakoLeo nimeenda kwa kamanda polisi mkoa DSM kutuma barua daaahh bado kidogo nimvae ACP mmoja anipambanie
Daaah!! Kwhyo mim leo ningemvaa tu majaliwa pale Muhimili[emoji24][emoji24]Uwoga wako ndio umaskini wako
Nimekumbuka mwanangu alifanya hivi hivi ilikuwa mwezi wa sita 2018 kama sikosei
Alivamia mkubwa naye ...yule mkubwa alicheka [emoji3] dogo anajiamini
Akampambania
mm nitofauti kabisaa[emoji1]nimecheck karibia coments za wadau wote wanaikubali idara kuliko polisi
hamna mkuu wangu. uzoefu tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwakwl ni mwendo wa vimemo tu halafu ww unachora watu unaonekana una connection flan maana una habari za jikoni sana
unapenda tanpol mkuumm nitofauti kabisaa[emoji1]
unakutana na mtu anaitwa hatari wa danger coy,au balumwina a.k.a kipele dadeq 835 stak hata kupasikia hata binadamu hamkutani nao[emoji23]Baba hata wapige intro ya namna gan scale yake haitazid niliopigw pale 835 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wew wew usiseme baba pale sehem hapafai!! Koz wanakaza balaaa! Ikiwa shamba mtakoma shamba dunia kwa Msanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unakutana na mtu anaitwa hatari wa danger coy,au balumwina a.k.a kipele dadeq 835 stak hata kupasikia hata binadamu hamkutani nao[emoji23]
Safari hii watawahi sababu wamehamia kidigital zaidi hadi kutuma maombi c umeona mwenyewepdf ya uhamiaji huwa inatema 2weeks after deadline. polisi tutasubiri maana average yao huwa ni miezi miwili
Me pia napapenda Sana,na nina Imani nako Sana cjui kwannunapenda tanpol mkuu
Ungajilipua mzee we si umemuona majawaliwa yuko zake fire sahv anakula shushu aya maisha kujilipua tu hujui nani atakusaidiaLeo alikuja muhimbili pale kuchek wagonjwa wodi ya watoto,nlikuw nmejizuka zangu kwny bench la kusubr nawaza km naweza toboa uhamiaji. Mara paap!! Naon harakati za wajomba wanaingia na w2 wamepiga masuti tu wengn Wana makamera kbsa!! Kuangalia vzr namuon mzee baba kawekwa kati! Hlf wanakuja uelekeo wangu, Daaah nlitaman nipige goti na kilio huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
yaah mkuuSafari hii watawahi sababu wamehamia kidigital zaidi hadi kutuma maombi c umeona mwenyewe