Tuko pamoja sana mkuumkuu wangu sfari hii utakua moshi mi nitakua kwenu tanga
we mwamba unavunja watu moyoKama umeomba uhamiaji na umetuma barua kwa posta hesabu maumivu yahn umelipia tsh 1200 kwamba barua zako za kazi zikifika Dodoma uhamiaji wazifate posta wakati kuna serious people zimetuma kwa njia ya EMS tsh 15000 mzigo unafikishwa mpka ofisini.
Barua yako vipande vyake vitageuzwa ticket au bahasha.
Hajui tu , wati tunapoteza Amani kabisa, wengine tulikutana na mabwana posta wajuaji wakatukataza kutuma kwa EMSwe mwamba unavunja watu moyo
Hawa wana masharti magumu mnoeDeadline ya zima moto ilikuwa tafehe 8 december, wapo mbioni kutoa majina ya interview, huku niliomba ingawa sina vigezo vyoteeView attachment 2456205
Wakiniita naenda , bora wakanifukuzeHawa wana masharti magumu mnoe
Haha haha rizki ya mtu ina Mungu ,never give up never lose HopeHajui tu , wati tunapoteza Amani kabisa, wengine tulikutana na mabwana posta wajuaji wakatukataza kutuma kwa EMS
Hahahah chief bhanakama naziona mbanga zinavo zidiana kete kuweka watu wao
nimemanisha mkuu wanguHahahah chief bhana
me nlishawah kujilipua kwa mtu mkubwa sana ilikua kipindi watu wanaenda kuripoti oljoro but nlimtafuta muda ndo umeisha But kuna wakuu wana roho nzuri za kusaidia ,nilimpigia simu hanijui hakuniuliza nimepata wapi namba ,aliniambia tuu muda mbona umeisha subir wakati mwingine,nlivomuambia ahsante akanijibu "karibu sana". nikawa namtumia message za "shikamoo mimi ndo yule.... pole na kazi" ili asinisahau anajibu ahsante,ila ameshatafu mwez wa 8[emoji16][emoji17]Ungajilipua mzee we si umemuona majawaliwa yuko zake fire sahv anakula shushu aya maisha kujilipua tu hujui nani atakusaidia
una mtu huko mkuu??Jina langu likiitwa tu usaili basi uhamiaji natoboa
kuna watu alikua nao kwenye system anaweza wacheki mkuume nlishawah kujilipua kwa mtu mkubwa sana ilikua kipindi watu wanaenda kuripoti oljoro but nlimtafuta muda ndo umeisha But kuna wakuu wana roho nzuri za kusaidia ,nilimpigia simu hanijui hakuniuliza nimepata wapi namba ,aliniambia tuu muda mbona umeisha subir wakati mwingine,nlivomuambia ahsante akanijibu "karibu sana". nikawa namtumia message za "shikamoo mimi ndo yule.... pole na kazi" ili asinisahau anajibu ahsante,ila ameshatafu mwez wa 8[emoji16][emoji17]
Nina Mungu tu mkuu huwez amini.sikati tamaa naimani Safari hii napatauna mtu huko mkuu??
tuko pamoja kamishnaNina Mungu tu mkuu huwez amini.sikati tamaa naimani Safari hii napata
Tpdf tuu ndo anaweza nikimuambia huku kwingine nahisi nitamchanganya ntapambana tuu kivingine ikishindikana ntasubir tuu bogi but namuombea uzima sanakuna watu alikua nao kwenye system anaweza wacheki mkuu