Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wadau tuendelee kutunza afya vizuri.

Mtoto wa kiume usikubali kuuza mechi kizembe,Huu si wakati wa kupapatikia mademu wa ajabu.

Intake iliyopita wadau wengi walikua UNFIT kutokana na matatizo kadhaa,Kuna mwamba alikosa nafasi kutokana alikua anatumia bangi na pia kuna baadhi ya mademu walikua wameungua tayari.

(Hawa mademu walikua wanaliwa na maafande kule makambini halafu maafande walikua wameshaungua tayariii).

Pia ukifanikiwa kuingia CCP inatakiwa nidhamu ya hali ya juu,wadau wengi wamefukuzwa kwa kesi mbalimbali kama vile simu na Mapenzi.

Kuna jamaa ile siku ya mwisho ya kumaliza mafunzo,alijichanganya akageuza kofia(zile za polisi) Nyuma mbele,Sasa ubaya wakati amevaa ile kofia vile Maafisa mbalimbali wa jeshi la polisi wakamuona,Kama ujuavyo tena siku ya mahafali maafisa wanakuaga wengi siku ya kumaliza mafunzo.

Basi jamaa[emoji28] akaitwa akaambiwa akavue uniform faster Maana hajaiva kwenye kozi..

CCP ni pale unapoona unapelekwa kwa RPC wako ndio ujue kazi umepata,ila ukiwa pale kambini hata kama ni siku ya mwisho unatakiwa ujichunge.

Nimewaibia lonja[emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lonja kali sn.
Nlichogundua humu ndani kuna w2 wako vitengo hlf wanatuchora tu team wasakatonge.ila umeshaur k2 kizuri sn mzee Mungu akubarik. Kwa watakaobahatika kufika huko watazingatia haya
 
Najua ugumu uliopo me siyo mara ya kwanza kuomba hizi nafasi,ndugu zangu wa 3 walitoboa bila connection hata wao walikuwa hawaamini kabisa . nothing impossible mkuu naona umekazania kutowekana lkn inawezekna kabisa humu jf watu wakatoboa bila connection.
 
Wale wazee wa kusimamisha minazi tumeonywa,
 
Ukiwa mjanja hapo hakuna shida ya kudownload hiyo Form tena badala yake unaweza kuedit uka insert new column mbili ila ziwe sambamba na herufi M na N then herufi O ikasimama mwisho kwenye no simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…