Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Vipi masilahi yao na haya majeshi mingine ya miezi sita kuna utofauti ?
Yanafanana tu.Sema PT vitengo vingi hivyo hela nje nje.Niliwahi kusikia ilikuwa unafanyika utaratibu enzi za Marehemu PT nayo iwe chini ya Ofisi ya Rais kama ilivyo TISS na PCCB sasa sijui mipango imeenda na Marehemu ama bado ipo?
 
Unaongelea rushwa.PT ina fursa zaidi yaani kupata hela kihalali nje ya mshahara,lindo za benki,mitihani,uchaguzi,misafara,migodini,reli,viwanja vya ndege,bandari nk.
mkuu pt ufananishe na migration kweli ?? au sababu upo chomboni uhalisia immigration ni maji marefu hamuingii kuanzia fursa na mipigo. uhamiaji anapiga anapiga karibia kote work permits, viwanja vyandege,bandarini,usafiri wote wa ardhini kufanya inspection,magodown, ubalozini , IOM Agency plus entry and exit points zote za nchi mkuu. kingine tusibishane ebu fananisha maisha ya afsa polisi na afsa uhamiaji interm of income,expenditure and lifestyle.
 
wizara ya mambo ya ndani hkuna jeshi lenye fursa kama immigration hyo ni TRA ndogo mkuu
Duuh Kumbe . Halafu miezi sita tuu


Huyu mwengine miezi tisa anaonekana ana mambo mengi kwa nini azidiwe mbona kama hawapo fair ?


Mimi naona Wangewapendelea polisi tu
 
Dah pole sana mkuu kwa kupotosha nazani haupo idarani siku zote ukiwa nje ya mfumo unaona walio ndani wanafaidi ingia ndani sasa

Uhamiaji wanaopata fursa zisizo rasmi n wale waliopangiwa mikoa ya mipakani angalau utakuta wanakula na watendaji wa kata ambushi ya kukamata wahamiaji haramu tofauti na hapo aisee hzo fursa ulizotaja sahv n ngumu muno mambo mengi yanafanywa online tena chap

Polisi kwenye fursa zisizo rasmi wako mbele ata apangiwe wapi, hakosi pesa ya mboga
 
Hivi na idarani wana weapon training??🤔🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…