Bia Ya Moto
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,227
- 2,816
Ndugu yangu aliniambia kuna Miamba inaitwa Nsemwa na Mwangosi hao ni shida.Ndio maana nawaambia watakaoenda huko watabadili kabisa mentality waliyonayo kuhusu polisi...tena wakienda porini ndio kabisa mtaelewa kazi. Polisi sio lelemama kama mnavyoaminishwa huko kwingine.