BlackHermito
JF-Expert Member
- Oct 15, 2020
- 748
- 1,131
Jamani msaada hata tulio pitia jkt mujibu wa sheria tunaruhusiwa kuomba maana kitaa kunatisha msaada nielewe wakuu
Kokote ukipata chaka nenda mkuu mtaani hakufahi kabisa zaidi ulipo na mapenzi ndio utafanya kazi kwa raha na amani sana mkuu wangu!!
Kaka,Mbona kwenye tangazo lao nimeona watu wenye masters degree nao waapply.Lakini kingine changamoto iliyopo kwenye majeshi chini ya wizara ya mambo ya ndani, masters bado haijapangiwa scale. Yani kama saiv ukiingia kwa mfano PT, utalipwa mshahara kulingana na degree yako tu.
Jwtz wanathamini zaidi elimu kuliko majeshi mengine.
Ahsante sana mkuu ngoja nijaribu polisi leo namaliza kazi nisikilizie Kama nilivozoea maisha hayaUnaruhusiwa.Afu proffesionals wengi ni waliopita mujibu
Hamna masters bhnaKaka,Mbona kwenye tangazo lao nimeona watu wenye masters degree nao waapply.
Sasa watalipa scale gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii posho ya 350K ni ration ama?Mambo yatabadilika taratibu mkuu miaka mi5 nyuma tu hayakuwa haya leo wako huku Posho ya mwezi tu ilikuwa 120k wakati JW wao wana 350K kitambo sana wamekuja kubadili Magu anaingia Awamu ya kwanza Urais
Nilikua frastruated mkuu.[emoji28]Hamna masters bhna
Weka tangazo lenye master hapa tuone [emoji41]
Kama watakuwepo watalipwa kwa degree level tu. Hamna scale kwa masters. Scale ya kielimu kwa sasa PT ni ya degree level tu. Then kuna baadae huko mbele kama ukifanikiwa kupanda vyeo unachagua kama uendelee kulipwa kwa degree yako au ulipwe kwa cheo chako so mshahara utaanza kupanda kwa cheo. Kuna kautaratibu flan hako ila nadhan katarekebishwa tu maana wadau wanaona hakapo sawa.Kaka,Mbona kwenye tangazo lao nimeona watu wenye masters degree nao waapply.
Sasa watalipa scale gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ka utaratibu gani hako mzee,Em tuibie lonja.Kama watakuwepo watalipwa kwa degree level tu. Hamna scale kwa masters. Scale ya kielimu kwa sasa PT ni ya degree level tu. Then kuna baadae huko mbele kama ukifanikiwa kupanda vyeo unachagua kama uendelee kulipwa kwa degree yako au ulipwe kwa cheo chako so mshahara utaanza kupanda kwa cheo. Kuna kautaratibu flan hako ila nadhan katarekebishwa tu maana wadau wanaona hakapo sawa.
tumia kichwa kuelewa mkuu mi nisha shusha fact. janja janja wanakusha na evidence za kimaandazi sijui na shemeji ,dada sijui shangazi yuko UT hana kitu. mkuu wizara ya mambo ya ndani mkuu wao ni immigration tu. hata novermber 15 mwezi uliopita polisi wametoka kulilia nyongeza ya mishaharaDuuh aloo aise kwahyo uhamiaji kumbe kukavu hivyo nilishawahi kitambo kupita pale tanga nasaco karibu na ukuta wa kiwanda cha mbolea wana kota za ghorofa chini yamejaa magari yao kama yote
Ila nyie watu wa majeshi sema hamuaminiki mnaweza sema mshahara na maslahi hamna kumbe mnapiga chini chini ela zipo za kutosha
Hawa polisi si walikuwa nao wanalalamikia maslahi .. halafu unakuta maisha safi
Ndio mtubiambie ukweli hela zipo au hazipo huko wizarani [emoji3]
Pamoja snpamoja mkuu wangu,ccp ama boma lazima tuingie
Mkuu naomba kuuliza kwani CCP huwez chagua kitengo bali unapangiwa ?TOC majeshi yote wana deal nazo.Mkuu kweli una mahaba na UT,sasa kama unapenda hizo ishu ingia PT alafu nenda Interpol.
Yaahh... POPOTE KAMBI[emoji108]Tukiachana na Story za mitaani vijiweni huko kwa Wizara ya Mambo ya ndani PT ndio Top huko hakujali uko tengo lipi au una cheo kipi
Kunakofuata huko kunategemea na niliyotaja huko juu
Kikubwa mshahara upo basi popote kambi!!!
Hili ndo jambo la msingi mana tumesugua sana kitaa[emoji23]Tuombeaneni kwanza tupate hizo ajira masuala ya maslahi baadae,
Muda wote ulikuwa wapi??Jamani msaada hata tulio pitia jkt mujibu wa sheria tunaruhusiwa kuomba maana kitaa kunatisha msaada nielewe wakuu
Mkuu naomba kuuliza kwani CCP huwez chagua kitengo bali unapangiwa ?
Iyo chenja naikubali Sana ndugu zangu me kuwa FFU ndio ndoto yangu [emoji3059][emoji120]Hako nilikokaelezea mkuu. Ngoja nijipe morali kwanza.
[emoji445][emoji441]Mama nipokee, nimechoka zangu na safari.
Nimetoka zangu Msumbiji, na begi langu mgongoni [emoji445]
Oyaaa Mozambiqanaaaaaaa.....
Oyaaa Mozambiqanaaaaaaa oyaaaaa...
Oyaaaa Mozambicanaaa...oyaaaa Mozambicanaaa oyaaaa......
Na kazi tutapataaaaaaaa.......
Oyaaa Mozambiqanaaaaaaa oyaaaa...