Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Dah kijana umenikumbusha mwalimu wangu mmoja hivi wa Criminal procedure yan alikuw ukiingia pindi lake ni full vibe na hausinzii....pia alikuw ni advocate anajua kinoma. ..huo ndio ulikuw Wimbo wake penda akishatupiga story ya uongo 😂😂😂😂

Ila hatukumfaidi sana Mungu akampa baraka akatoka polisi akaingia taasisi nyingine nyeti serikalini.
 
Awiiiiiiiii. Awaaaaaaaaaa....... Allelelleee Siambaaa allellee Siyambaaa allelelele Siambaaa maama Siambaaa.................kuanzia hapa ..... Siambaaa......mpaka CCP Siambaaaa...... askari.....watupu.. Siambaaa mama Siambaaa [emoji123][emoji3578][emoji81]
 
Kuna vitengo ambavyo mtakatwa mapema kabisa pale pale CCP watu wa makao makuu watakuja na kuwakata mabogi kwa vitengo kama Intelijensia au FFU na huwa wanabaki kwa ajili ya training before kutawanyika kwenye vituo vyao.

Vitengo vingine huwa viko automatically kutokana na proffession yako na unajijua tangu unaingia CCP maana unakuwa umeshapangwa tayari baada ya kupita usaili. Kwa mfano wale wa Afya kuu, watu wa mambo ya Anga, mambo ya mifugo na kilimo( dogs n horse wanakuwaga huku pia)...watu wa Forensic bureau etc

Afu kuna wale ambao mnakuw mnabaki kama General Duty...ambapo sasa mkienda huko mikoani wakubwa zenu ndio watakupangia ukae wapi...kama traffic au wapi.
Mfano ili uwe traffic au ffu ni chaguzi au unakatwa bogi bila kujua unajikuta upo Sehem Fulani
 
Mkuu tukiona hizi texts zako unatutupa moyo Sana,bado tunaendelea kusali [emoji120]
 
Kaka hiko kitengo cha FFU kipo kwnye damu tu sijui kwanini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3059]
 
[emoji445][emoji445]Oyaaaa weeee [emoji445]hakuna uzi huuu bhana aaaaaaaaah aaaaaaaaah[emoji445] leleleelelel[emoji445] aiyeeeeee hakuna [emoji445]Uzi kama huuuu bhanaaa aaaaaaaahh[emoji445]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…