Daah jamaa Imebaki siku moja ndo anashtuka!!!Muda wote ulikuwa wapi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah jamaa Imebaki siku moja ndo anashtuka!!!Muda wote ulikuwa wapi??
Mfano ili uwe traffic au ffu ni chaguzi au unakatwa bogi bila kujua unajikuta upo Sehem FulaniUnamaanisha kitengo wakati unafanya mafunzo au kitengo baada ya kumaliz mafunzo?
Dah kijana umenikumbusha mwalimu wangu mmoja hivi wa Criminal procedure yan alikuw ukiingia pindi lake ni full vibe na hausinzii....pia alikuw ni advocate anajua kinoma. ..huo ndio ulikuw Wimbo wake penda akishatupiga story ya uongo 😂😂😂😂Hako nilikokaelezea mkuu. Ngoja nijipe morali kwanza.
🎶🎤Mama nipokee, nimechoka zangu na safari.
Nimetoka zangu Msumbiji, na begi langu mgongoni 🎶
Oyaaa Mozambiqanaaaaaaa.....
Oyaaa Mozambiqanaaaaaaa oyaaaaa...
Oyaaaa Mozambicanaaa...oyaaaa Mozambicanaaa oyaaaa......
Na kazi tutapataaaaaaaa.......
Oyaaa Mozambiqanaaaaaaa oyaaaa...
Kachelewa huyoDaah jamaa Imebaki siku moja ndo anashtuka!!!
Ili uwe unawatembezea watu mkong'oto[emoji23]Iyo chenja naikubali Sana ndugu zangu me kuwa FFU ndio ndoto yangu [emoji3059][emoji120]
Daah jamaa Imebaki siku moja ndo anashtuka!!!
Awiiiiiiiii. Awaaaaaaaaaa....... Allelelleee Siambaaa allellee Siyambaaa allelelele Siambaaa maama Siambaaa.................kuanzia hapa ..... Siambaaa......mpaka CCP Siambaaaa...... askari.....watupu.. Siambaaa mama Siambaaa [emoji123][emoji3578][emoji81]Hako nilikokaelezea mkuu. Ngoja nijipe morali kwanza.
[emoji445][emoji441]Mama nipokee, nimechoka zangu na safari.
Nimetoka zangu Msumbiji, na begi langu mgongoni [emoji445]
Oyaaa Mozambiqanaaaaaaa.....
Oyaaa Mozambiqanaaaaaaa oyaaaaa...
Oyaaaa Mozambicanaaa...oyaaaa Mozambicanaaa oyaaaa......
Na kazi tutapataaaaaaaa.......
Oyaaa Mozambiqanaaaaaaa oyaaaa...
Mfano ili uwe traffic au ffu ni chaguzi au unakatwa bogi bila kujua unajikuta upo Sehem Fulani
Mkuu tukiona hizi texts zako unatutupa moyo Sana,bado tunaendelea kusali [emoji120]Dah kijana umenikumbusha mwalimu wangu mmoja hivi wa Criminal procedure yan alikuw ukiingia pindi lake ni full vibe na hausinzii....pia alikuw ni advocate anajua kinoma. ..huo ndio ulikuw Wimbo wake penda akishatupiga story ya uongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila hatukumfaidi sana Mungu akampa baraka akatoka polisi akaingia taasisi nyingine nyeti serikalini.
Kaka hiko kitengo cha FFU kipo kwnye damu tu sijui kwanini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3059]Kuna vitengo ambavyo mtakatwa mapema kabisa pale pale CCP watu wa makao makuu watakuja na kuwakata mabogi kwa vitengo kama Intelijensia au FFU na huwa wanabaki kwa ajili ya training before kutawanyika kwenye vituo vyao.
Vitengo vingine huwa viko automatically kutokana na proffession yako na unajijua tangu unaingia CCP maana unakuwa umeshapangwa tayari baada ya kupita usaili. Kwa mfano wale wa Afya kuu, watu wa mambo ya Anga, mambo ya mifugo na kilimo( dogs n horse wanakuwaga huku pia)...watu wa Forensic bureau etc
Afu kuna wale ambao mnakuw mnabaki kama General Duty...ambapo sasa mkienda huko mikoani wakubwa zenu ndio watakupangia ukae wapi...kama traffic au wapi.
Mpate nafasi asee tuje tuwapige intro CCP 😂😂😂😂Mkuu tukiona hizi texts zako unatutupa moyo Sana,bado tunaendelea kusali [emoji120]
Hiki ni kitengo cha mazoezi daily so ujipange na hilo life style la mghasia.Kaka hiko kitengo cha FFU kipo kwnye damu tu sijui kwanini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3059]
Mungu ni mwema mkuu. mwili wangu unatamani madoso huu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpate nafasi asee tuje tuwapige intro CCP [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Me uniambie JW na FFU naenda zangu FFU,nipo tayari kwa lolote asee[emoji1665][emoji1787]Hiki ni kitengo cha mazoezi daily so ujipange na hilo life style la mghasia.
Unakichaguaje kama unakipenda zaidi..kuja watu sisi lifestyle yetu tunataka matizi daily kua fit muda woteHiki ni kitengo cha mazoezi daily so ujipange na hilo life style la mghasia.
PT ukata utawaua . sema so mbaya njaa ndiyo