Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mkuu hivi INTELIJENSIA(TISS) pia wanachaguliwa wakiwa CCP?
 
Mkuu me nataka uyo jamaa akubishie ivoivo ili uteme madini ila UT hamna masalahi kulinganisha na PT.
 
na form six je afu inachukua muda gani adi kwenda kusoma?
 
na form six je afu inachukua muda gani adi kwenda kusoma?
Mkitoka mafunzo unakuwa na mkataba wa miaka mitatu kwanza ambayo utakuwa kazini na katika kipindi hiki hutaruhusiwa kuacha majukumu yako ya kazi na kwenda kusoma. Hivyo kama utaamua kusoma kipindi hiki basi unaweza kusoma kimya kimy bila kuathiri majukumu yako ya kazi. Cha msingi ni kusoma kwako kusiathiri majukumu yako ya kazi katika kipindi husika.
 
Nikiingia police naenda kusoma law(sheria) open university kimya kimya then naomba likizo ya mwaka nikapige law school hafu nikishakuwa wakili na muhuri wangu hafu police PGO na katiba Ipo kwa head itajulikana.
Utawaambiaje kwamba umepata degree ktk mazingira gani, maana wanajua umeajiriwa mwaka fulani na umeingia kwa level ya f6 au f4 then unawapelekea cheti cha degree na umemaliza mwaka 2022 wakati wewe umeajiriwa mwaka 2000. Utawaambia umesoma muda gani ukiwa kazini pasipo kupata ruhusa ya kwenda kusoma?

Hii degree hawatoitambua na unaweza usipandishwe level ya mshahara au cheo maana kusoma serikalini inahitaji kupewa ruhusa.

Unaweza ukajila kamanda
 
nipo kuquit chuo uo mchongo ukitiki nipo second yr
 
sasa apo usiombe upangiwe porini ambapo hakuna vyuo😂
 
sidhan kama hii ni sahihi maana wapo wanaoingilia four then wanakuja kuonesha gamba la chuo wakiwa wamemaliza
 
Haipo kihivyo mkuu as long as umepata gamba halal hata kama hukupewa ruhusa. Wapo watu wanasoma open University mkuu na wakimaliza wanapeleka gamba.
NB: Kama hujapewa ruhusa unaweza ukasoma ila elimu yako isiathiri majukumu yako ya kazi y kila siku. Sio unapangiwa kazi unasema nitakuw darasani. Hapo utazinguliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…