Kawaoneshe tu kuwa ww ni mtu wa kazi. Huwa wanaita wanaotaka na wanachuja. Ukipita basi barret nyekundu itakuhusu.Unakichaguaje kama unakipenda zaidi..kuja watu sisi lifestyle yetu tunataka matizi daily kua fit muda wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawaoneshe tu kuwa ww ni mtu wa kazi. Huwa wanaita wanaotaka na wanachuja. Ukipita basi barret nyekundu itakuhusu.Unakichaguaje kama unakipenda zaidi..kuja watu sisi lifestyle yetu tunataka matizi daily kua fit muda wote
UmeshachelewaOy kumbe kunanafasi ya kazi wazee nipen msaada wa haraka nlikua sjaona
Mkuu hivi INTELIJENSIA(TISS) pia wanachaguliwa wakiwa CCP?Kuna vitengo ambavyo mtakatwa mapema kabisa pale pale CCP watu wa makao makuu watakuja na kuwakata mabogi kwa vitengo kama Intelijensia au FFU na huwa wanabaki kwa ajili ya training before kutawanyika kwenye vituo vyao.
Vitengo vingine huwa viko automatically kutokana na proffession yako na unajijua tangu unaingia CCP maana unakuwa umeshapangwa tayari baada ya kupita usaili. Kwa mfano wale wa Afya kuu, watu wa mambo ya Anga, mambo ya mifugo na kilimo( dogs n horse wanakuwaga huku pia)...watu wa Forensic bureau etc
Afu kuna wale ambao mnakuw mnabaki kama General Duty...ambapo sasa mkienda huko mikoani wakubwa zenu ndio watakupangia ukae wapi...kama traffic au wapi.
Mkuu ututupie taulo [emoji28]..Mpate nafasi asee tuje tuwapige intro CCP [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FFU wazee wa utayari..!Iyo chenja naikubali Sana ndugu zangu me kuwa FFU ndio ndoto yangu [emoji3059][emoji120]
Kumbe hawakati bogi ni wanachagua wale watu kaziKawaoneshe tu kuwa ww ni mtu wa kazi. Huwa wanaita wanaotaka na wanachuja. Ukipita basi barret nyekundu itakuhusu.
Mkuu me nataka uyo jamaa akubishie ivoivo ili uteme madini ila UT hamna masalahi kulinganisha na PT.Yaani kanidanganya wakati naishi nae, baada ya ukuta walipiga course ya uhamiaji DSM (Miezi minne) then akapangiwa kituo huku tunakoishi akawa yuko plain hana chochote began akapangiwa kitengo cha sheria idarani but Lindo alikuwa anaenda kama Kawa alianza ajira 2020, mwaka huu kamaliza nyota juz kati boma kichaka miba Tanga then unasema kanidanganya
Wakati anaanza salary sababu anadegree ya sheria alianza na 940K before makato kipindi Chao engineering na doctors walianza na Million na kitu degree zingine walianza na laki saba na kitu, sheria na IT walianza na 940K tena walikaa kama miezi miwil salary ikawa haiingii
Huyo mwenye nyota tatu ajira yake ya kwanza ilikuwa 2012 yeye kozi alibahatika alikuta utaratibu wa zamani mwenye degree unaunganishiwa nyota alipgia CCP moshi but salary alianza na ndogo kama laki saba na kitu zaman salary zilikuwa ovyo aliunganishiwa na nyota kozi walipga miezi tisa so hzo zingine zimemkuta kazin.
Sasa niambie uongo n upi ? Na n kipi wakijua wew mkuu.
TISS ni usalama wa taifa. Ni taasis inayojitegemea tofauti na polisi. Intelijensia ninayoiongelea hapa ni wapelelezi ndani ya jeshi ya polisi.Mkuu hivi INTELIJENSIA(TISS) pia wanachaguliwa wakiwa CCP?
na form six je afu inachukua muda gani adi kwenda kusoma?Kuna vitengo ambavyo mtakatwa mapema kabisa pale pale CCP watu wa makao makuu watakuja na kuwakata mabogi kwa vitengo kama Intelijensia au FFU na huwa wanabaki kwa ajili ya training before kutawanyika kwenye vituo vyao.
Vitengo vingine huwa viko automatically kutokana na proffession yako na unajijua tangu unaingia CCP maana unakuwa umeshapangwa tayari baada ya kupita usaili. Kwa mfano wale wa Afya kuu, watu wa mambo ya Anga, mambo ya mifugo na kilimo( dogs n horse wanakuwaga huku pia)...watu wa Forensic bureau etc
Afu kuna wale ambao mnakuw mnabaki kama General Duty...ambapo sasa mkienda huko mikoani wakubwa zenu ndio watakupangia ukae wapi...kama traffic au wapi.
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]eti kufarakanaOp gani mkuu??
Nimeshawahi katwa kibangala nikaingia kwenye 18 za Sese, kuruta tulifarakana hatari.
Mkitoka mafunzo unakuwa na mkataba wa miaka mitatu kwanza ambayo utakuwa kazini na katika kipindi hiki hutaruhusiwa kuacha majukumu yako ya kazi na kwenda kusoma. Hivyo kama utaamua kusoma kipindi hiki basi unaweza kusoma kimya kimy bila kuathiri majukumu yako ya kazi. Cha msingi ni kusoma kwako kusiathiri majukumu yako ya kazi katika kipindi husika.na form six je afu inachukua muda gani adi kwenda kusoma?
Utawaambiaje kwamba umepata degree ktk mazingira gani, maana wanajua umeajiriwa mwaka fulani na umeingia kwa level ya f6 au f4 then unawapelekea cheti cha degree na umemaliza mwaka 2022 wakati wewe umeajiriwa mwaka 2000. Utawaambia umesoma muda gani ukiwa kazini pasipo kupata ruhusa ya kwenda kusoma?Nikiingia police naenda kusoma law(sheria) open university kimya kimya then naomba likizo ya mwaka nikapige law school hafu nikishakuwa wakili na muhuri wangu hafu police PGO na katiba Ipo kwa head itajulikana.
nipo kuquit chuo uo mchongo ukitiki nipo second yrMkitoka mafunzo unakuwa na mkataba wa miaka mitatu kwanza ambayo utakuwa kazini na katika kipindi hiki hutaruhusiwa kuacha majukumu yako ya kazi na kwenda kusoma. Hivyo kama utaamua kusoma kipindi hiki basi unaweza kusoma kimya kimy bila kuathiri majukumu yako ya kazi. Cha msingi ni kusoma kwako kusiathiri majukumu yako ya kazi katika kipindi husika.
sasa apo usiombe upangiwe porini ambapo hakuna vyuo😂Mkitoka mafunzo unakuwa na mkataba wa miaka mitatu kwanza ambayo utakuwa kazini na katika kipindi hiki hutaruhusiwa kuacha majukumu yako ya kazi na kwenda kusoma. Hivyo kama utaamua kusoma kipindi hiki basi unaweza kusoma kimya kimy bila kuathiri majukumu yako ya kazi. Cha msingi ni kusoma kwako kusiathiri majukumu yako ya kazi katika kipindi husika.
sidhan kama hii ni sahihi maana wapo wanaoingilia four then wanakuja kuonesha gamba la chuo wakiwa wamemalizaUtawaambiaje kwamba umepata degree ktk mazingira gani, maana wanajua umeajiriwa mwaka fulani na umeingia kwa level ya f6 au f4 then unawapelekea cheti cha degree na umemaliza mwaka 2022 wakati wewe umeajiriwa mwaka 2000. Utawaambia umesoma muda gani ukiwa kazini pasipo kupata ruhusa ya kwenda kusoma?
Hii degree hawatoitambua na unaweza usipandishwe level ya mshahara au cheo maana kusoma serikalini inahitaji kupewa ruhusa.
Unaweza ukajila kamanda
Mchongo ukitiki unapostpone chuo unaenda kutafuta kazi kwanza. Utakuja kuimalizia tu baadae.nipo kuquit chuo uo mchongo ukitiki nipo second yr
Haipo kihivyo mkuu as long as umepata gamba halal hata kama hukupewa ruhusa. Wapo watu wanasoma open University mkuu na wakimaliza wanapeleka gamba.Utawaambiaje kwamba umepata degree ktk mazingira gani, maana wanajua umeajiriwa mwaka fulani na umeingia kwa level ya f6 au f4 then unawapelekea cheti cha degree na umemaliza mwaka 2022 wakati wewe umeajiriwa mwaka 2000. Utawaambia umesoma muda gani ukiwa kazini pasipo kupata ruhusa ya kwenda kusoma?
Hii degree hawatoitambua na unaweza usipandishwe level ya mshahara au cheo maana kusoma serikalini inahitaji kupewa ruhusa.
Unaweza ukajila kamanda