Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,549
- 10,995
Hyo medical examination form sijaona kwenye nyaraka za kuambatanishia acha niitue tu kuliko kupoteza gharama kwenye ishu ya kujarib bahatilkn muhuri ni bukutano hakimu wa mahakama zetu, medical examination form 10k
SawaMkuu kama ni uhamiaji achana nayo mzee utajisumbua bure
Hakuna shida mkuu. Unaweza ukasoma hata bila kuwa na ruhusa. Ila utajua mwenyewe utajipangaje na utawapangaje wakubwa zako. Unapoambiw uishi na wakubwa zako vizuri...uelewe kuwa kuna vitu kama hivyo. Ukiishi nao vizuri watakupa majukumu ambayo yatakupa muda wa kusoma pia.Soma vzuri nilivyoandika, kumaliza mafunzo na kuonesha cheti chako cha chuo ni tofauti ma kutoa cheri chako muda ukiwa unaendelea na kazi. Yaani nilimaanisha umeajiriwa 2019 halafu cheti unawapelekea ulisoma 2020 na umemaliza 2023 na hapo haujapewa ruhusa.
Ila jaribu tu kila kitu kinawezekana.
Kizuri. Hauvai gwanda . Hutakiw kutambulika kama askari so hata manywele unaweza jifugia tu. Na unaweza pangiwa uwe undercover sehemu fulani. Pamoja na maslahi mengine kama polisi...basi kuna posho ya mavazi..ya kununulia viwalo maana hauvai gwanda...unaliweka tu until itakapotakiw kutumika.Kwahiyo hao INTELIJENSIA wanakuwa ndani ya PT kumbe,kitengo kizuri au hakuna ishu?
ww nimwepesi wa kukata tamaa!! tz inahitaji roho ngumu nakusihi badilikaHyo medical examination form sijaona kwenye nyaraka za kuambatanishia acha niitue tu kuliko kupoteza gharama kwenye ishu ya kujarib bahati
24 ni nadharia ila kiuhalisia 2 dayseven 24 hrs mkuu,ajaribu bahati yake
Pesa ndio ilikuchelewesha ?Pesa ya kugharamia vitu vyote hvyo ndo shida.
Bless up Champ[emoji123]ww nimwepesi wa kukata tamaa!! tz inahitaji roho ngumu nakusihi badilika
N.kPesa ndio ilikuchelewesha ?
Hivi kwa wakati huo Kwa wale waliongia na vyeti vya form wakitoa vyeti vyao vya degree haina shida ?Mkitoka mafunzo unakuwa na mkataba wa miaka mitatu kwanza ambayo utakuwa kazini na katika kipindi hiki hutaruhusiwa kuacha majukumu yako ya kazi na kwenda kusoma. Hivyo kama utaamua kusoma kipindi hiki basi unaweza kusoma kimya kimy bila kuathiri majukumu yako ya kazi. Cha msingi ni kusoma kwako kusiathiri majukumu yako ya kazi katika kipindi husika.
Kitakuwa kitengo kizuri sana,sikuwahi kujua kama kuna hiko kitengo zaidi ya CID.Kizuri. Hauvai gwanda . Hutakiw kutambulika kama askari so hata manywele unaweza jifugia tu. Na unaweza pangiwa uwe undercover sehemu fulani. Pamoja na maslahi mengine kama polisi...basi kuna posho ya mavazi..ya kununulia viwalo maana hauvai gwanda...unaliweka tu until itakapotakiw kutumika.
Hili bogi tamu sana ila lina changamoto ya kufa muda wowote ikitokea wabaya wakakujua.Kizuri. Hauvai gwanda . Hutakiw kutambulika kama askari so hata manywele unaweza jifugia tu. Na unaweza pangiwa uwe undercover sehemu fulani. Pamoja na maslahi mengine kama polisi...basi kuna posho ya mavazi..ya kununulia viwalo maana hauvai gwanda...unaliweka tu until itakapotakiw kutumika.
Mfwende ulikuwa mtabila aseeshusheni lonja wakuu
Nasikia CCP posho ni 70k per month.shusheni lonja wakuu
[emoji3]Nasikia CCP posho ni 70k per month.
Unatakiwa upasi suruali mpaka ule upanga uonekane vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app