methodinho
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 489
- 549
mafinga lile chimbo htari. kuruti unavaa kombati muda wotee hkuna vipitshort kule
Sio poa aseeKule ukifika tu ni mwendo wa kombat lile baridi aisee ni hatari
Sjui ukipigwa nua na baridi hilo inakuwajeKule ukifika tu ni mwendo wa kombat lile baridi aisee ni hatari
Mbna umechelewa mkuu, ulikuwa wapi dk zote hizoYani me ndo najipanga hapa kesho nitume maombi huko polisi
Kumbuka tarehe 27 ni leo saa hii saa sita usikuNilikuwa kitaa mkuu lakini nimeona tangazo nimeomba leo kesho naenda mkoani nichukue barua ya daktari nikamilishe maombi nisubilie kwata la polisi Mungu ajalie tu
Ungefosi leo utume maombi tu, kuanzia kesho ni kubetYani me ndo najipanga hapa kesho nitume maombi huko polisi
Upanga ukate mendeNasikia CCP posho ni 70k per month.
Unatakiwa upasi suruali mpaka ule upanga uonekane vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo kikosin au uraianiyeah tpdf tunasubiria mkeka wetu na sisi February hapo
uraian mzeeUpo kikosin au uraiani
Tpdf hawatoi mkeka mkuu watu wanaenda kimya kimya kozi kma upo uraiani uwe na connection tena connection kubwa Sanauraian mzee
Mkuu lini ulisikia tpdf wametoa mkeka? Wanachukuliwaga vikosini tu,huku uraini uwe na mbanga au labda waje mavyuoni kutafuta watu wenye uhitaji nao au fani wanayo itakayeah tpdf tunasubiria mkeka wetu na sisi February hapo
kabsaa mf wanaotarajia kupiga kozi waliopo rts sahv ni maengneer,IT na madoctor walopita mwaka jana kuandkisha vyuoni walipita must,muhimbili n.kMkuu lini ulisikia tpdf wametoa mkeka? Wanachukuliwaga vikosini tu,huku uraini uwe na mbanga au labda waje mavyuoni kutafuta watu wenye uhitaji nao au fani wanayo itaka
Uhamiaji deadline ni tar 29 sio leo mkuu,tar 27 ni deadline ya maombi ya polisiDeadline ya uhamiaji ni leo saa 10 jioni maana saa 6 usiku hakuna posta inayofanya kazi.
Tujitahidi ambao hatujatuma tutume leo maana nimesikia kuwa huwa wanaangalia tarehe ambayo umepeleka barua posta na siyo siku ambayo wameipokea barua though sina uhakika katika hilo.