Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Makamanda mpooo
Mawaombea mloomba mpate mimi sijawazibia riziki masubiri Mtipidii na PCCB niliuliza kuhusu DEA Dystonia7 Bongo ipoje hii Drug enforcement?
 
Mkuu lini ulisikia tpdf wametoa mkeka? Wanachukuliwaga vikosini tu,huku uraini uwe na mbanga au labda waje mavyuoni kutafuta watu wenye uhitaji nao au fani wanayo itaka
kabsaa mf wanaotarajia kupiga kozi waliopo rts sahv ni maengneer,IT na madoctor walopita mwaka jana kuandkisha vyuoni walipita must,muhimbili n.k
 
Deadline ya PT ni leo saa 10 jioni maana muda wa kazi unaisha hapo. Wale wanaotuma mtandaoni ni before 23:59

Tujitahidi ambao hatujatuma tutume leo maana nimesikia kuwa huwa wanaangalia tarehe ambayo umepeleka barua posta na siyo siku ambayo wameipokea barua though sina uhakika katika hilo.
 
Deadline ya uhamiaji ni leo saa 10 jioni maana saa 6 usiku hakuna posta inayofanya kazi.

Tujitahidi ambao hatujatuma tutume leo maana nimesikia kuwa huwa wanaangalia tarehe ambayo umepeleka barua posta na siyo siku ambayo wameipokea barua though sina uhakika katika hilo.
Uhamiaji deadline ni tar 29 sio leo mkuu,tar 27 ni deadline ya maombi ya polisi
 
Hii huwa ni shamba dress ya immigration??
1671812647218.jpg
 
Back
Top Bottom