Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Baada ya hali ya kipato kuwa shida kwenye ishu ya usimamizi wa mitihani majeshi mengine (Mambo ya Ndani) pia yaliomba yawe yanasimamia ili angalau wapate zile posho kama wenzao PT na TISS wanavopata.
 
unaonekana una koneksheni kali sana mkuu
 
we mbuzi ngoja nikutajie
workpermits,bandarini,airports, godown, citizenship permit,entry and exit points, national and international organized crimes, UN agency i.e IOM agency ,investment permits Nk
Sema wewe jamaa ni mbishi inaonekana wa Asili kabisa.Alafu acha kutukana watu wanaokuelekeza jaribu kujifunza mambo mapya.
Sasa hivyo vitu vyote ulivoviandika hapo unamtengaje PT kuwepo ndani yake?
 
Baada ya hali ya kipato kuwa shida kwenye ishu ya usimamizi wa mitihani majeshi mengine (Mambo ya Ndani) pia yaliomba yawe yanasimamia ili angalau wapate zile posho kama wenzao PT na TISS wanavopata.
Unataka kusema magereza, UT, ZT nao wanasimamia hizo mambo? πŸ€”
 
kiwira pale kama hujajipanga ,unaachia kozi njiani. kwenye ule uzi wa magereza wana kibao walikua wnatuibia lonja jinsi watu wanavokimbia kozi ya magereza ikafika hatua wkapokonywa hadi vyeti vya taaluma
Kitu kinachoitwa kozi kisikie tu kwa mwenzio,hakuna kozi ya kijeshi rahisi.
 
KKutoka kwa wadau wanasema Polisi hakuna maovyoovyo mengi sana kama Jwtz...yani ule usumbufu wa sijui mnaenda kula kwa uchura..au kuroll kule hakuna. Ugumu wa CCP ni sheria asee pale chuoni mjini na kuamka saa 6 usiku.Maovyoovyo kwa PT ni porini. Ila JW maovyoovyo mengi na hawakai pori muda mrefu. Halafu PT hawana mambo ya kuchimba mahandaki kama JW

.Kitu kinachoitwa kozi kisikie tu kwa mwenzio,hakuna kozi ya kijeshi rahisi.
 
Kuna kutunguliwa kama Hamza alivyotungua watu pia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚dadek nakumbuka ile siku nilikuw namsindikiza mshkaj posta kupeleka maombi tupo kwenye folen ya Morocco posta...risas zinasikika dah...mwamba kidogo ahairishe kupeleka maombi...ila saiv anakula maisha ofisini tu
Natamani sana siku moja ningekuwa ASKARI sema sasa ndiyo sina vigezo,wadogo zangu pambaneni,kuwa mlinda AMANI ni HESHIMA kubwa sana.
 
Tulikuw wengi siku hiyo dadek mama aliniambia nisiende tena polisi ila sasahivi anafurahi πŸ˜‚
 
Vitengo mzee. Nina wana kibao intake iliyopita yan walipofika kule ni tengo mwanzo mwisho πŸ˜‚πŸ˜‚ porini ndio waliipata maana mkuu wa mafunzo ya pori hataki kusikia kitu kinaitwa kitengo. Yeye anakwambia anatoa askari. Kitengo pembeni.
Amini askari wangu ,kuna vipengele inabidi ule scale za kijeshi
 
. Kwanza kazi yenyewe hutopata! Umepoteza bure pesa zako za posta

HAPANA hii hatusupport kwenye uzi wetu mabishano yawepo Lakin icho ulichoandika hatutaki apa wote tunaombeana tupate sio kukosa bro.

Mabishano yawepo kwa nia ya kuibua na kijibu hoja na pia kupitia mabishano ata sisi tusiojua chochote tutapata kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…