ZT kupanda wadhifa na vyeo sio ngumu ni juhudi zako na nidhamu ya kazi tu.Ni kweli ila kuna proffesionals wanahitajika . Baadhi ya waliojiongeza na kutuma wataitwa kwa usaili.
Jamaa wa ikulu nimezunguka nae sehemu mbalimbali saana katika kuniaminisha kuwa yeye ni mtu mzito (ni mpenda sifa) so nilifaidi saana al in all askari wa misitu wana hela saana aise
ndio ndioPolisi umepeleka kama form 6 si ndio? Ngoja niwe serious na kutafuta connection ya JW...wana bado hawajaanza course bado sijui zilinipita wap zile nafasi asee
Misitu hela ipo kuna mwamba alikuwa na certificate akapewa ruhusa ya kwenda kusoma diploma akakataa nikamuuliza why unakataa kwenda kuongeza elimu akasema huo mwaka wa kwenda kusoma hela nyingi zitampitaKwa macho yangu bila kuhadithiwa niliona payslip ya askari wa FTS ambaye ana certificate tu anakunja basic ya 700k.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimbizana na fursa nenda polisi ....utajiendeleza baadaebiomedical second yr
biomedical second yr apa mkuu nataka kuquit niende polisi nimepata kaconnection kidgo lkn napenda jw ushauri wako apo mkuu nisubir nimalize au vipi,
Misitu hela ipo kuna mwamba alikuwa na certificate akapewa ruhusa ya kwenda kusoma diploma akakataa nikamuuliza why unakataa kwenda kuongeza elimu akasema huo mwaka wa kwenda kusoma hela nyingi zitampita
Yes nilitumia hiyo fursa vizuri plus mbinu zangu za kimedani......mambo yatakaa sawa tuMaconnector hao ukiwa mtulivu utafaidi mema mengi ya nchi mkuu
Nimekumbuka HR alipewa juzi kati na Mh SamiaYah..huku mimi sikuomba saiv nategesha tu connections tu mzee. Hata majina ya kwenda kureport yakitoka kama unaconnection unaweza enda report tu .CCp wtu huwa wanareport hata baada ya miezi miwli course kuanza 😂😂😂. Ila Mama Kaganda anaweza akakaza si unamjua yule kanyooka ...watu wanaweza wasiingie ovyo CCp
Hadi mafunzoni watu wanakula vitengo 😅Vitengo mzee. Nina wana kibao intake iliyopita yan walipofika kule ni tengo mwanzo mwisho 😂😂 porini ndio waliipata maana mkuu wa mafunzo ya pori hataki kusikia kitu kinaitwa kitengo. Yeye anakwambia anatoa askari. Kitengo pembeni.
Majuzi kakamata ile misumeno ya kukatia miti porini 3Damn! jamaa kapiga hesabu ndefu mnoo
Vipi kula kwa route?KKutoka kwa wadau wanasema Polisi hakuna maovyoovyo mengi sana kama Jwtz...yani ule usumbufu wa sijui mnaenda kula kwa uchura..au kuroll kule hakuna. Ugumu wa CCP ni sheria asee pale chuoni mjini na kuamka saa 6 usiku.Maovyoovyo kwa PT ni porini. Ila JW maovyoovyo mengi na hawakai pori muda mrefu. Halafu PT hawana mambo ya kuchimba mahandaki kama JW
.Kitu kinachoitwa kozi kisikie tu kwa mwenzio,hakuna kozi ya kijeshi rahisi.
Uzi una tembea 😆😆Vipi kula kwa route?
Majuzi kakamata ile misumeno ya kukatia miti porini 3
Mashine zilikuwa mpya kabisa akawa ananiambia moja dukani ni Milioni 2.6 so yeye ana uhakika wa Million 5 zote zile
Kwani ukiwa chomboni ukienda kusoma haulipwi mshahara?Misitu hela ipo kuna mwamba alikuwa na certificate akapewa ruhusa ya kwenda kusoma diploma akakataa nikamuuliza why unakataa kwenda kuongeza elimu akasema huo mwaka wa kwenda kusoma hela nyingi zitampita
hela wanayo. ila kufungwa nje nje wakuu ukileta pigo za wizi wa mali za umma kuanzia askari misitu na wanyamapori kuna kesi ilikuepo 2013 ulikua msako mkali sana.Damn! jamaa kapiga hesabu ndefu mnoo
hela wanayo. ila kufungwa nje nje wakuu ukileta pigo za wizi wa mali za umma kuanzia askari misitu na wanyamapori kuna kesi ilikuepo 2013 ulikua msako mkali sana.
msako uliendeshwa na jwtz mkuu,TFS &Tanapa nk walidakwa sanaUnakula na kipofu mkuu, mambo inakuwa bulbul
msako uliendeshwa na jwtz mkuu,TFS &Tanapa nk walidakwa sana
pamoja mkuu wangu ,umakini uwe wa hali yajuuKwa sasa hivi naona watu wanakula mnoo, kila mtu anacheza pande yake mkuu it’s 2022 bruh