Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kwa macho yangu bila kuhadithiwa niliona payslip ya askari wa FTS ambaye ana certificate tu anakunja basic ya 700k.

Sent using Jamii Forums mobile app
Misitu hela ipo kuna mwamba alikuwa na certificate akapewa ruhusa ya kwenda kusoma diploma akakataa nikamuuliza why unakataa kwenda kuongeza elimu akasema huo mwaka wa kwenda kusoma hela nyingi zitampita
 
Yah..huku mimi sikuomba saiv nategesha tu connections tu mzee. Hata majina ya kwenda kureport yakitoka kama unaconnection unaweza enda report tu .CCp wtu huwa wanareport hata baada ya miezi miwli course kuanza 😂😂😂. Ila Mama Kaganda anaweza akakaza si unamjua yule kanyooka ...watu wanaweza wasiingie ovyo CCp
Nimekumbuka HR alipewa juzi kati na Mh Samia
 
KKutoka kwa wadau wanasema Polisi hakuna maovyoovyo mengi sana kama Jwtz...yani ule usumbufu wa sijui mnaenda kula kwa uchura..au kuroll kule hakuna. Ugumu wa CCP ni sheria asee pale chuoni mjini na kuamka saa 6 usiku.Maovyoovyo kwa PT ni porini. Ila JW maovyoovyo mengi na hawakai pori muda mrefu. Halafu PT hawana mambo ya kuchimba mahandaki kama JW

.Kitu kinachoitwa kozi kisikie tu kwa mwenzio,hakuna kozi ya kijeshi rahisi.
Vipi kula kwa route?
 
Back
Top Bottom