Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mkuu na hizi degree zngne walizohitaji inamaana mkimaliza coz mnatupwa kwenye vitengo vyenu au inakuaje mkuu hapo
 
Chakula cha jioni ni saa 12 jioni. Ukimaliza kula hapo ni utawala wako binafsi utajua mwenyewe kama utalala au utakuw unafanya nn. Ila saa 6 usiku kuamka siku inaanza. Porini kulala ni saa 4 usiku kuamka saa 11 asubuhi.
Six week zinakuaje?
na kumbuka Jkt six week zao huwa sio poa...
Huko hamna kufoleni usiku ..
 
Walimu kitengo chao vp?
 
Hapa tuwekane sawa nature ya majukumu ndii yanayo halalisha uhusika kwenye tuki katika Home affair ni PT tu ndio chombo kinacho wagusa au raia moja kwa moja.
Huvyo hapo MT hawezi ingia kirahisi labda itikee tu special issues.
Outside mission now baazi ya issues MT PT pia japo si mara kwa mara..

Mtazamo..
 
Dah sikuwah ona kwa walimu mkuu....Nadhani sio kila degree inatengo. Kwa kule wataalamu wa afya, ITs, Engineers , mafundi bomba, watu wa records...bendi....wataalamu wa mifugo....ukiwa mwepesi unakamata nafasi
Mtu ukikitaka kitengo cha FFU unafanya ujanja gani kukipata
 
Unakipaje kitengo cha ffu
 
Unakipaje kitengo cha ffu
Chief tofautisha vitengo vya CCp wakati wa mafunzo na vitengo vya kazi mnavyopangiwa baada ya makao makuu kuwaanalyze mwishoni mwa mafunzo.Hapo juu mkuu @Dystonia kaeleza vitengo kipindi cha mafunzo kwa nilivyomuelewa. Hakuna kitengo cha FFU kipindi mafunzo yanaendelea. FFU ni kitengo rasmi cha kazi baada ya mafunzo kuisha.
 
Nilikuwa sijampata apo sasa fresh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…