Mkuu na hizi degree zngne walizohitaji inamaana mkimaliza coz mnatupwa kwenye vitengo vyenu au inakuaje mkuu hapoVitengo rasmi ni huwa baada ya wote kumaliza pori. Ule mwezi mmoja wa maandilizi ya kupass out ndio kuna kuwa na vitengo official. Kabla ya hapo watu huwa wanajiongeza wenyewe tu kupunguza makali ya course. Kwa mfano pale kuna Hospital inahudumia Raia wengi tu so madaktari na wataalamu wa huwa wanasaidia kutoa tiba inakuw kama tengo Lao 😂. Pia watu wa mifugo wanasaidia huko ilipo...mafundi/ maengineers n.k